Jana, Machi 13 nilipata wasaa wa kusoma hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23, na Vipaumbele vya Kibajeti kwa mwaka ujao wa fedha mbele ya Wabunge Jijini Dodoma.
Chini ya Uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi yetu imepiga...