dkt. phillip isdor mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Tanzania tunataka Afrika ipate nafasi mbili kwenye Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa pamoja na kura ya VETO

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Philip Moango ametaka nchi za Afrika pia zipate nafasi kwenye UN Security Council na ziweze kuwa na VETO Power
  2. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

    Wakuu Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya...
  3. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondo–Mto wa Mbu (km 217) Sehemu ya Wasso-Sale (km 49)

    Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondo–Mto Wa Mbu (km 217) Sehemu ya Wasso-Sale (km 49) ambayo imekamilishwa na Serikali kupitia TANROADS kwa kiwango cha lami wilayani Loliondo mkoani Arusha. Akizungumza na wananchi waliojitokeza kushuhudia barabara hiyo, leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…