McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa
Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa
Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?
Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?
Nimesikitishwa mno!