Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

Kuhusu afya na nin sjui, hata ulaya ndio agenda zao muhimu. Ulitaka ajisifie nuclear na hana??

Kumbuka kuhusu BIMA tu ya Obama akachaguliwa kuwa rais.

Umeme, maji na afya bora ndio msingi wa vyote kwanza kabla ya kuwaza utajiri. Ila kwakuwa tz kilamtu anajua na anapenda kubisha, wacha tubishane.
Hakuna maji wala umeme, kujisifia ujinga tuu
 
Back
Top Bottom