Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

Haya ma speech huko UN yanatufanya tuonekane hamnazo sana, yaani kwenda kujimbwafai UN kwa mambo ambayo huko duniani ni historia. Huwezi kusikia Jin Ping wa china anazungumzia aibu hizi, ni viongozi wa Afrika pekee wanapenda kujianika. sijui ni kwa nini hawaoni aibu hata kuyasema hayo mambo...
 
Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Kuhusu afya na nin sjui, hata ulaya ndio agenda zao muhimu. Ulitaka ajisifie nuclear na hana??

Kumbuka kuhusu BIMA tu ya Obama akachaguliwa kuwa rais.

Umeme, maji na afya bora ndio msingi wa vyote kwanza kabla ya kuwaza utajiri. Ila kwakuwa tz kilamtu anajua na anapenda kubisha, wacha tubishane.
 
Anafanya rehearsal ya igizo la uchaguzi.
Unapokuwa kiongozi inabidi uwe makini sana.
Watumishi wake wanamtumia samia kuingiza per diem.

Yeye anafikiri anafanya campaign kwa ajili chama kumbe anawanufaisha wachache na kuumiza wengi, ukija kustuka too late wamesha kugombanisha na wananchi.

Na apo wana mwambia mama zunguka nchi nzima ili uweke record, kumbe wezako wanaweka record ya kukusanya maokoto
 
Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Nimemsikia pia anaongelea amani.

Dr mpango amekemea vikali vita vya kinyama na ukosefu wa haki unaongezeka duniani akisisitiza haki ndio shauku kuu la binadamu. Mpango anaiambia dunia Samia anapigania haki, amani na maendeleo ya binadamu.

Amesema viongozi kutokaa kimya mbele ya dhuluma, unyonyaji wa rasilimali za Afrika na kuongezeka matumizi ya kijeshi.

Vitu vyote vinavyofanywa na Samia nyumbani, Tanzania yupo kimya havikemei. Kweli nyani haoni kundule. Ilitakiwa ajiuzulu na kupinga uhuni unaondelea sasa hivi.
 
Kuhusu afya na nin sjui, hata ulaya ndio agenda zao muhimu. Ulitaka ajisifie nuclear na hana??

Kumbuka kuhusu BIMA tu ya Obama akachaguliwa kuwa rais.

Umeme, maji na afya bora ndio msingi wa vyote kwanza kabla ya kuwaza utajiri. Ila kwakuwa tz kilamtu anajua na anapenda kubisha, wacha tubishane.

Hayo ni ya kuongelea kwenye vikao vya kijiji na ni mambo ambayo hata Mkurugenzi anaweza kufanya sio mambo ya kuongelea kwenye such a stage
 
Ukiwa na stable democracy ni rahisi kusema UN unaitaji wawekezaji wekezaji miradi mbali mbali kwa 50% pacent kutoka na rasilimli
 
Kwakweli Tanzania imepoteza sana . Dah Namkumbuka Nyerere na akina Mkapa halafu namtazama Mpango naona aibu.

Nendeni you tube mtafute hotuba za hawa viongozi
1. PM wa Barbados yaani kaongea kama kiongozi wa Dunia. Kagusa kila eneo la maisha ya Wanadamu .
Mwaka jana alikuwa moto, mwaka huu ni moto zaidi.

2. Rais William Rutto kaongea kama kiongozi wa Taifa akijaimini. Katufuta machozi East Africa

3. Rais wa Colombia

4. Rais wa Malaysia

5. Rais wa Slovenia

Enzi hizo akina Nyerere wakiongea Dunia inatulia na kusikiliza. Siku hizi tunaongelea madumu ya maji. AIBU

JokaKuu Nyani Ngabu (vuta video kutoka archive zenu za Mwl Nyerere UN), Kalamu
 
Kama mikopo mingi ilikuwa juu ya hayo pia na muhimu ayaseme ili avutie wengine, tuzidi kusaidiwa kupitia serikali yetu.
 
Honnest hata mimi nimesikitishwa sanaa ,sio tuu kusikitikaa ninaumwa nimelazwaaa hapa
Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Watu wanaogopa midahalo ya ndani wanaweza kuongea cha maana UN!?
 
60 yrs wakati wazungu wameanza kuendelea toka karne za 15 huko
 
Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Hawa wanaitumia kodi yetu kiholela SANA SANA aise
 
Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Daktari huyo! Shahada zinapokuwa mbwembwe badala ya njia ya kuleta mabadiliko ya jamii. Wa Barbados, ni Mama, mwanzo mpaka mwisho, hajaongelea chochote cha nchi yake, bali balaa za machafuko duniani, akitaja mpaka madhila ya Afrika (Sudan).
 
Kwakweli Tanzania imepoteza sana . Dah Namkumbuka Nyerere na akina Mkapa halafu namtazama Mpango naona aibu.

Nendeni you tube mtafute hotuba za hawa viongozi
1. PM wa Barbados yaani kaongea kama kiongozi wa Dunia. Kagusa kila eneo la maisha ya Wanadamu .
Mwaka jana alikuwa moto, mwaka huu ni moto zaidi.

2. Rais William Rutto kaongea kama kiongozi wa Taifa akijaimini. Katufuta machozi East Africa

3. Rais wa Colombia

4. Rais wa Malaysia

5. Rais wa Slovenia

Enzi hizo akina Nyerere wakiongea Dunia inatulia na kusikiliza. Siku hizi tunaongelea madumu ya maji. AIBU

JokaKuu Nyani Ngabu (vuta video kutoka archive zenu za Mwl Nyerere UN), Kalamu
Mkuu, 'Nguruvi3', asante kwa kuniita hapa.

Kwanza nieleze tu kwamba siku hizi sina hata hamu kabisa ya kusikiliza mtu yeyote toka kwnenye kundi hili la watu waovu kabisa. Kwa maana hiyo, hata hii ya P. Mpango nimeona tu kichwa cha mada mara kadhaa; lakini sikuwa na hamu ya kuifungua kuona ndani Mpango kasema nini. Mwanzo wake, nilikuwa na matumaini juu ya huyu msomi mzuri, lakini kama ilivyo kawaida, hawa watu wanapoingia kwenye huu mpango wa waovu, ni kama kuna kitu huwa kinafuta kujitambua kwao kama binaadam na kubaki tu kuwa kama vikaratasi vya kufutia uchafu chooni.

Nikiachana na hayo, nimalize kwa haya machache: kwamba maudhui hayo hayo yaliyo kuwemo kwenye hotuba ya P.Mpango yangewasilisha picha tofauti kabisa kama yangezungumziwa na kiongozi kama Mwalimu Nyerere.
Kwa hiyo, kwa maoni yangu, tatizo halikuwa yaliyo zungumziwa peke yake.

Katika uwasilishaji wa hotuba kuna mambo mengi yanayo changia hotuba ionekane kuwa ya maana na kueleweka na wengi.
Katika hayo hayo ya maji, sijui na vitu gani vile, vingeweza kujengewa mazingira ya kuonyesha siyo kwa Tanzania pekee, bali ni maswala mapana yanayo husu nchi nyingi duniani na kusababisha matatizo ya kidunia sasa hivi.

Habari ya Ruto niliona mhitasari wake mahali. Ruto ni mzungumzaji sana (sisemi mzuri sana); lakini anajuwa jinsi ya kupamba mambo anayo yazungumzia; na kwa kweli anajua "kutekenya" hisia za watu kwa kuibua na kuyazungumzia 'hot button issue'.
Ndio maana aliposhika swala la "hustlers" na kulifanya ngome ya kampeni zake nchini kwake, aliweza kuvuta na hadi kupata ushindi ambao alikuwa hategemewi kuupata..
Sifa hizo anazo; lakini kama ilivyo jadi, upande wake wa pili nao unamwelemea sana kama kiongozi.
 
Back
Top Bottom