Salaam wapendwa.
Dk. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa, aliwahi Kufanya kosa la KIIMANI akiwa katika harakati za kutafuta Ubunge.
Dk. Tulia aliwahi Kutumia Jeneza na MSALABA kama Ishara ya kuizika CHADEMA kwa Mkoa wa Mbeya.
Watu walipopiga kelele kwenye...
Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu...
Hali ya mafuta ni mbaya ambapo leo watanzania wenzetu wa Kyerwa Ruberwa Mkoa wa Kagera wanauziwa mafuta ya Petroli kwa Tsh 3,647 kwa lita huku wale wa Ukerewe Mkoa Mwanza wakiuziwa lita moja kwa Tsh 3,619 kwa mujibu wa Tangazo la EWURA.
Mjadala huu umeitikisa nchi tangu bei hiyo mpya itangazwe...
Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme.
Sote tunatambua hoja hizo ziliibuliwa bungeni na Kamati za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya...
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.
Spika Tulia akalitolea...
Nimeona Spika Tulia akizinyanyasa hoja za wananchi zilizoletwa na Waitara kuhusu mauaji ya watu Tarime na ya Ole Sendeka kuhusu Loliondo.
Kwa kutumia ujuzi wake wa sheria ameamua kutumia kiti chake cha uspika kuwa mtetezi wa serikali na kuwagaragaza wabunge hao waliokuja na hoja zenye nguvu...
Spika Tulia amemtaka Naibu waziri Katambi kujibu upya swali la Mbunge wa Chadema Mh Sophia Mwakagenda.
Katambi alisema waliokosa mikopo ni Wakenya.
Tulia amesema kauli ya Katambi imezua tafrani kwa vijana nchini hivyo amemtaka Naibu waziri kuwa Makini na kauli zake
Chanzo: Channel ten
Kuhusu...
Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa.
Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa za sahihi zao na majina yao kufojiwa. Sijui wanataka Nani aje asibitishe Hilo. Wakati wewe unasema...
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa...
Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.
Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa...
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye...
Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Waziri Mkuu wa JMT katika ukumbi wa White House Makao Makuu...
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.
Kwa mshangao kabisa...
Linapokuja suala la mali au madaraka huenda kundi la wanawake ndio kinara wa kuvuna kirahisi sana, iwe kwa haki au kwa hila, wanawake ni wavunaji tu.
Wakati watawala wa CCM walipokuwa wanawapanga wanawake kwenye safu mbalimbali za uongozi kama alama ya ujanja ujanja ya kuwatumia ili kuimarisha...
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.
Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara...
Kwa maneno ya Naibu Spika Tulia Ackson na Ndugai inaonesha Bunge halina meno na ni chombo kisichoweza kuisimamia serikali.
Kwa tafsiri rahisi ndio maana hua kazi kubwa ya wabunge ni kupiga makofi na kusema ndioooooooo na kusema naunga hoja mkono asilimia mia moja na kazi yao nyingine ni...
Sijui kama ni unafiki, ulaghai, akili kidogo au tamaa, ambavyo huweza kumfanya mtu kuwa mtumwa wa ujinga.
Hivi karibuni, Naibu Spika Tulia, mbele ya Rais wakati Rais akiwaapisha mawaziri aliowateua, alitamka wazi kuwa Rais na Serikali, ni kila kitu. Na kwamba, japo Bunge linaweza kuishauri...
Waungwana salamu [emoji1538]
Nisipoteze muda mwingi niende moja kwa moja kwenye mada.
Kujiuzuru uspika kwa Mhe. Ndugai kumezidi kuonesha ni kwa namna gani kama Taifa bado hatufahamu mambo mengi ya kisiasa, kiutawala, uraia na kiutendaji.
Wapo waliombeza Mhe. Ndugai wapo walioshitushwa na wapo...
Kila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii kauli binafsi naichukulia kua ni ya kujikosha na kujipendekeza, si kauli ya kutamka kwenye media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.