Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo.
Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama analalamika kua wapo watu ndani ya serikali hawako naye na wengine hawaelewi.
Tulishauri kwamba Mama...
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha...
Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya...
Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa...
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.
Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge...
Ni takribani miezi kadhaa sasa toka jemedari wetu wa vita Hayati Magufuli atutoke.17-03-2021 ni sikua ambayo mpendwa wetu chuma alitutoka
Navutiwa nakupendezewa sana na Naibu wa spika akiwa anatumia ukurasa wake wa instagram kila inapo fika tarehe 17 basi hutumia ukurasa wake huo kumkumbuka...
Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu.
Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi.
Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa.
Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala.
Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya...
Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais.
Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala kuhoji ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato akisema haupo kwenye Bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.