Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini.
Utoaji wa hati hizi...
Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
🔴 WASOMI WANA JAMBO LAO DODOMA...!!
MKUTANO MKUU MAALUM WA VYUO NA VYUO VIKUU
📍 Mahali: Ukumbi wa NEC - CCM, Dodoma
📅 Tarehe: 16 Machi 2025
⏰ Muda: Saa 2:00 asubuhi
👤 Mgeni Rasmi: Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC)
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
Natokea Kanda ya ziwa
Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida
Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini
Makazi duni, watu wanakaa mapangoni juu wameezekea tope yani nyumba unaingia halafu ndani Kuna pango...
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).
Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
Katibu Tawala Msaidizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mkoani Dodoma, Vincent B. Kayombo, amefungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa Kiingereza na Hisabati katika wilaya ya Kondoa. Mafunzo haya yameandaliwa kwa ushirikiano na Mradi wa Shule Bora, unaolenga kuboresha elimu nchini.
Kayombo...
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI
Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .
Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
Wakuu
Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho.
Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kupiga kura itakapofika kipindi cha uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada za utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti ili kuhakikisha idadi ya miti inaongezeka na kutengeneza misitu itakayosaidia kutunza afya ya udongo na kuwa chanzo cha...
Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
MAVUNDE AKABIDHI KOMPYUTA NA PRINTER KWA SHULE 50 ZA SEKONDARI JIJINI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu...
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025.
https://www.youtube.com/live/InZNLiUNiCU?si=g75Xu8EoJy6IoBRc
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma.
Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.