dodoma

  1. Suley2019

    Dodoma: Mwenyekiti akutwa ameuawa na kutupwa mtaroni

    Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisokwe wilayani Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, Patrick Nyangauya amekutwa amefariki dunia na mwili wake kutupwa kwenye mtaro na kufunikwa na majani. Akizungumza leo Jumatano Januari 17, 2024 kijijini hapo, Mtendaji wa Kijiji cha Kisokwe, Anna Fundichuma amesema alipigiwa...
  2. Greatest Of All Time

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  3. GENTAMYCINE

    Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  4. Roving Journalist

    Mafuriko yakatisha mawasiliano Barabara ya Morogoro – Dodoma, Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia...
  5. 2

    Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  6. donlucchese

    Leo January 2, 2024 Dodoma tumepata mvua

    Tunamshkuru Mungu tangu jana na Leo tunapata mvua. Tulikua na mashaka na mazao tuliyopanda kama tutapata mvua. Mungu atujaalie iendelee kunyesha
  7. Suley2019

    Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

    Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli. Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi. Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
  8. M

    Migahawa ya kigeni Dodoma

    Hellow , marry Christmas to you all, Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA , Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .
  9. Tate Mkuu

    FT. Dodoma Jiji Fc 1, Ihefu Fc 0

    Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!! Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma. Yaani msimu mzima wanajiandaa kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wao wa nyumbani, halafu baada ya hapo...
  10. D

    Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  11. M

    Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

    Wadau, Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi. Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya. Asanteni familia.
  12. S

    Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  13. The Gojo

    Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Habari! Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
  14. kimsboy

    Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
Back
Top Bottom