Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mombasa kipo hakipo Dodoma na kipo Dodoma hakipo Mombasa.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mombasa wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao...
MBUNGE MAVUNDE KUWAWEZESHA KIUCHUMI WAJANE JIMBONI DODOMA MJINI
-Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kurejesha mikopo ya 10%
-Aileta Dodoma Taasisi ya Fedha inayokopesha wajane bila riba
-Awataka kuepuka mikopo ya kausha damu
-Wajane kupewa mafunzo ya ujasiriamali
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510.
Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
Habari wakuu.
Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa.
Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.)
Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Naibu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anawakaribisha Wabunge na Wananchi katika Wiki ya Nishati itakayofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 15, Aprili 2024 hadi tarehe 19 Aprili 2024.
Hii ni fursa kwa Wabunge na Wananchi kufahamu utekelezaji wa Sera ya...
Habarini wakuu
Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi Sana tukijuana na kupeana ABC baada ya pilikapilika zote na nitakuwepo hapo Jumanne jioni mpaka...
Kwema Wakuu,
Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu.
Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc
Nicheki PM au unaweza...
Eid fitriiii JF
leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo.
NAWASILISHA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa.
Senyamule...
Seti ya kwanza ya EMU
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
Habari ndugu wana jukwaa, naomba kwa wazoefu wa Dodoma hasa maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze na Kikuyu, mnisaidie natafuta nyumba ya kuishi, walau iwe na vyumba viwili na sebule, choo, jiko, maji, umeme.
Bajeti yangu haizidi 200k
RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20.
Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
Salam wakuu,
Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa mkoani Dodoma aweze kunielekeza ili nikawaone. Budget yangu NI isizidi 1M (meza na viti sita)
Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria.
Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote.
Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.