dodoma

  1. Sun Zu

    Eneo linauzwa, jirani na stand ya SGR DODOMA

    Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA. Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali. 15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo. 0719928661
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Akabidhi Mradi wa Shamba kwa Wanawake Wafanyabiashara Wadogo Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi ▪️Awatafutia soko la uhakika wa mazao yao ▪️Rais Samia apongezwa kwa miundombinu rafiki ya biashara...
  3. N

    Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu Mawasliano +255767630088
  4. S

    Shule za A'level Dodoma

    Habari wananzengo Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi, naomba mnisaidie nipate list angalau hata shule tatu nne then nione nafanyaje . Nashukuru sana!
  5. The Watchman

    RC Dodoma aitaka TRC kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti

    Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka stesheni. Senyamule ameyasema hayo alipotembelea stesheni kuu ya Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) na...
  6. Pfizer

    Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  7. Stephano Mgendanyi

    Barabara Njia Nne na Sita Kujengwa Jijini Dodoma

    BARABARA NJIA NNE NA SITA KUJENGWA JIJINI DODOMA Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Dodoma zenye jumla ya urefu wa kilometa 220 kwa kuzijenga kwa njia nne na sita kwa lengo la kuhakikisha jiji la Dodoma...
  8. PureView zeiss

    Tanroads: dodoma kujengwa barabara za njia SITA

    #HABARI Serikali kupitia TANROADS imepanga kupanua barabara za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Dodoma zenye jumla ya urefu wa kilometa 220 kwa kuzijenga kwa njia nne na sita kwa lengo la kuhakikisha jiji la Dodoma linaondokana na msongamano wa magari na kusaidia kuboresha huduma za usafiri...
  9. The Watchman

    Pre GE2025 Barabara njia nne na sita kujengwa Dodoma

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya Jiji la Dodoma zenye jumla ya urefu wa kilometa 220 kwa kuzijenga kwa njia nne na sita kwa lengo la kuhakikisha Jiji la Dodoma linaondokana na msongamano wa magari na kusaidia...
  10. Stephano Mgendanyi

    Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  11. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwenezi wa CHADEMA Dodoma mjini abwaga manyanga, atimkia CCM

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Wilaya ya Dodoma Mjini Godfrey Kimario Leo Feb 13,2025 amekabidhi kadi ya Chama Chake Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi(CCM)Wilaya ya Dodoma Mjni Stephen Mhanga ili kujiunga na CCM Kupata matukio na taarifa zote...
  12. K

    Sikubaliani na gharama ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma kwa Tshs.310 billioni

    Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni. Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000...
  13. Tabutupu

    Kujenga uwanja wa siti 32,000 Dodoma, Ni kukosa Maono

    Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana. Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge. Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti...
  14. The Watchman

    Anthony Mavunde: Michakato ya kuanza ujenzi wa mpira Dodoma ilikuwa mingi hadi Rais Samia alipoingilia kati ndiyo ikawezekana

    Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana...
  15. ChoiceVariable

    Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

    Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya 🇹🇿? Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo na -ukarabati. -Ujenzi wa uwanja Mpya wa...
  16. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC na Dodoma Jiji yasogezwa mbele, Kikosi cha Dodoma charejea nyumbani

    Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma. Taarifa ya Bodi Ligi
  17. Carlos The Jackal

    UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  18. K

    Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

    Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
  19. Pfizer

    Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa msalato

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji. Hii ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa mradi huu mkubwa wa miundombinu unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...
  20. The Watchman

    Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
Back
Top Bottom