Natokea Kanda ya ziwa
Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida
Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini
Makazi duni, watu wanakaa mapangoni juu wameezekea tope yani nyumba unaingia halafu ndani Kuna pango...