Licha taarifa ya baadhi ya viongozi wa Serikali ngazi za juu kusisitiza Wanafunzi wa Shule za Serikali wasirejeshwe nyumbani kutokana na kukosa kuchangia michango, hali ni tofauti kwenye ya Shule Msingi Mazengo Makang'wa iliyopo Kata ya Makang'wa Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma.
Wanafunzi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Mtu mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Raphael Keneth Ndamahnwa mlinzi wa kanisa Katoliki parokia ya watakatifu wote lililopo Nzuguni B kwaajili ya uchunguzi wa kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Francis Maarufu kaka ManDojo kilochotokea...
Wadau,, nimeambia kunavyo vya ufundi Donbosco Dodoma na chuo cha Abc Arusha.Nwuliza je kunawatu wamesoma hivi vyuo? Na je elimu yao ikoje ukilinganisha na kusoma VETA.
Asante
Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma.
Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio akiwa amelala tu kwenye sofa nyumbani kwake.
Katika mfumo huu, vijana wasio na ajira huko Dodoma...
Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.
Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku.
Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi?
Na nauli ni Tsh ngapi ?
Watu wa Mwanza Bariadi Shinyanga na Musoma safari ya kwenda Dar ni mateso huwa tunafika usiku mnene
Napenda kujua ili...
Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma ambao miili yao imeokotwa huku mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali.
Kwa mujibu wa mashuhuda, mwili huo unaoonekana kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali, umekutwa ukiwa umefungwa katika...
Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume...
Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika.
Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
Nahitaji kijana serious wa kiume haraka wakusimamia playstation Centre, ipo Chaduru Dodoma, karibu na Dodoma rafiki hotel.. godoro lipo.
Call 0753233879
Nahitaji Kijana mjanja tushirikiane kutengeneza pesa pia mwenye nia ya kujifunza namna ya kuendesha biashara, fursa ndo hizi
Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana.
Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003
NB...
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms.
Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network..
Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.