Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine).
Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo??
Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?