Kuna siku nilikua Dodoma mitaa ya safina pale karibu na temple ya Hindu mandal
Kuna wadada wawili walikua wameketi hapo nje ya Ile temple Kuna kama chemba iv
Mmoja kati Yao alikua ana mtoto mchanga kambeba lakini kamgeuzia mbele
Basi bwana wakaniita ,nikasogea pale wakaniambia wanaomba...