DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.
Muhtsari
Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari
Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba
Serikali ya Djibouti...
Habari wakuu,
Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu.
Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa...
Mama, usiwasikilize sana washauri wako hasa kuhusu Mkataba wa DP World. Tumia akili yako wewe mwenyewe kutoa maamuzi ya mwisho kuhusu Mkataba wa DP World.
Kwa ufupi kabisa, na kwa maoni yangu, kuna kila sababu kuusitisha kwanza mkataba huu mpaka pale utakapokuwa umeeleweka vizuri kabisa kwa...
Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:
Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?
"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."
Ushauri wa bure tunaelekea kubaya
Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion haki zote na upendeleo wote walioutaka.
Mwaka 2016 Magufuli alipoona mkataba kati ya serikali na...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.
Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.
Amesisitiza kuwa...
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend...
Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto.
Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
Bunge ndio sehemu ya wawakilishi wa wananchi, Serikali haiwezi kupokea maoni ya mtu mmoja mmoja kutoka nchi nzima kuhusu suala hili la Bandari.
Kwenye kujadili mkataba, ni wajibu wa Mbunge kupata maoni ya watu wake kwa kuwa ndiye muwakilishi wao, na Bunge hukaribisha maoni kabla ya kupitisha...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema kuwa Kauli ya Kusema DP World watamiliki Maeneo yote ya bandari za Bahari, Maziwa na Nchi kavu ni kama posa tu, lakini mchumba mwenyewe atajulikana wakati wa kusaini mikataba midogo ya makubaliano itakayokuja baadae.
Amebainisha kuwa hilo ni jina tu...
Msigwa anaonekana kabisa kaandaa mjadala huu wa Bandari kimkakati, yupo kipropaganda, hataki kukosolewa anataka watu waongee anachotaka.
Haruhusu maswali yanayomchallenge na yakiulizwa anayajibu kisiasa anaingia anatoka kama mchwa kwenye kichuguu mwisho hujui hata kajibj nini, kifupi hana...
Kaimu Mkenyenge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa TASAC amesema Serikali imekuwa inawekeza fedha nyingi bandarini kila mwaka lakini faida inayopatikana ni ndogo.
Amebainisha kuwa uchumi wa sasa wa kidunia unapaswa kushirikisha sekta binafsi, na lazima watu wenye uzoefu watafutwe ili wasaidie wakati...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Zanzibar haijahusishwa kwenye Mkataba wa DP World kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo ugumu wa utelekezaji wa suala hili upande huo.
Salum amesema japokuwa Bandari ni suala la Muungano, Utelekelezaji wake sio wa kimuungano kwa kuwa Zanzibar wana mamlaka zao...
Akijibu maswali ya wadau kuhusu suala la Bandari kuwa la Muungano lakini mkataba wa DPW ni wa Tanzania Bara, msemaji wa TASAC amesema suala la bandari haliwezi kuendeshwa kimuungano imeshashindikana
Akijibu swali kwenye Clubhouse amesema, suala Zanzibar haihitaji uwekezaji kwa wakati huu kwa...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema sio lazima kwa sasa kuwapekeka vijana nje kujifunza ujuzi unaohusu uendeshaji wa Bandari.
Amesisitiza kuwa Unaweza kuwapeleka vijana huko, lakini njia nzuri ni kuwaleta DP World hapa ili vijana wengi wapate uwezo na nafasi ya kujifunza wakiwa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.