dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  2. Hatimaye CCM, kwa kuipakata DP world, yathibitisha ni genge la ulaji lisilo na uadilifu wala uzalendo!

    Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa! Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili zimwi CCM linang'ang'ania madaraka kwa maslahi ya nani? Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu...
  3. B

    Sakata la DP World kina Musiba waanza kuibuka

    Walikuwapo wakatoweka. Mabilioni bado hawajalipa: Kama mchezo wa kuigiza wengine nao wanaibuka. Ngoma inogile ngoja tuone.
  4. Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi

    MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI "Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni. "Elimu ya dai risiti toa...
  5. TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  6. U

    Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za...
  7. What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports

    Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbalimbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea...
  8. K

    Kwanini Serikali haitaki kubadilisha vifungu vya MOU ya DP world? Kama hakuna rushwa

    Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho. Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
  9. S

    Kama kweli suala la DP World limewagusa basi nguvu kubwa ielekezwe kwenye kudai katiba mpya

    Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali). Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
  10. B

    UVCCM wameukimbia Mtiti wa DP World, Baba Levo na Steve ndio Backup iliyobaki

    Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini. Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa Dr Samia Suluhu kuliko Wasomi wengi wa uvccm na Makada nguli. Baba levo nilimsikia juzi akiwa...
  11. Tunawataka DP World, Wabongo wa bandarini tumewachoka wamejaa rushwa na urasimu. Kuwe na kipengere cha Mkataba kuisha kila baada ya Miaka mitano!

    Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua. Kama Dp World hataki kuwa na mkataba wa miaka mitano, ije hata hio kampuni ya kigeni ambayo imepewa tenda kuendesha bandari ya...
  12. B

    Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  13. R

    Wanasheria walioandaa mkataba na DP World ni Watanzania au ilipewa tenda kampuni ya kigeni?

    Wanasheria wote wa Tanzania pamoja na waalimu wa sheria nchini pamoja na nchi jirani wameukataa mkataba wa Tanzania na DP World. Je, haiwezekani kwamba kazi hii ilifanywa na makampuni ya nje kuifanya kazi hii? Kama wasomi wetu wameshindwa kupata tafsiri inayoitwa nia njema ya serikali naamini...
  14. DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

    Kwa kuwa zimwi la kampuni ya DPW ni la kudumu kama mkataba walioingia na serikali, nimeona ni busara tukawa na munakasha maalumu kuhusu kampuni hii tata iliyoingia mkataba wa kilaghai na serikali ya CCM kununua bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu, anga la nchi, special economic zones, na...
  15. DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

    Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak! Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani. Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya...
  16. B

    Upotoshaji mkataba na DP world kwa manufaa ya nani?

    Nguvu nyingi inatumika bIla shaka kupotosha kuhusiana na mkataba huu. Kwamba tuna aina hIzi za watu mezani: Ni dhahiri bin shahiri kuwa, kuna wanufaika hapa na bila shaka si wananchi.
  17. Prof. Shivji: Mikataba ya Bandari na Dubai inayokuja itakuwa Siri na haitapelekwa Bungeni

    "DP WORLD wakipata faida huwezi kuwatoza kodi lakini pia hakuna kifungu chochote (katika mkataba wa bandari) kinachozungumzia revenue sharing (mgawanyo wa mapato), kama nchi itafaidika vipi?" Prof. Shivji "Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu...
  18. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anapotosha Taifa, ukweli ni kwamba mkataba wa DP World unaongelea uuzwaji wa Bandari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anasema kuwa katika Mkataba wa awali kati ya Tanzania na Dubai "hakuna kipengele kinachosema kuwa Dubai imeuziwa Bandari za Tanzania." Kisheria, kauli hii sio kweli hata kidogo. Hivyo, napenda kujenga hoja ya kuonyesha kwamba, katika Mkataba wa awali...
  19. Mwanasheria Dkt. Nshala Rugemeleza: Mkataba wa bandari ni wa kiuhaini, Umevunja katiba ya nchi na utakwenda kuvunja sheria za nchi

    "Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa, kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA, this is nonsense, itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa, angalia ibara ya 10, 18 na 27 ya mkataba huo...
  20. Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…