drc

  1. Miss Zomboko

    Wananchi wengine 22 wauawa mjini Beni DRC. Jeshi la nchi hiyo lalaumiwa kwa kushindwa kuwadhibiti waasi

    Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango. Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi hao kwa risasi na kuwauawa wakiwemo wanawake na watoto huku wengine wakijeruhiwa hata hivyo jeshi la...
  2. Miss Zomboko

    Mahakama ya ICC yatakiwa kuingilia kati mauaji ya raia yanayoendelea DRC

    Kiongozi wa mashtaka katika Mahakama ya ICC Fatou Bansouda KINSHASA,CONGO MASHIRIKA ya kiraia nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC) na sehemu nyengine duniani, yanataka Ofisi ya mwendesha Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, kuchunguza mauaji yanayoendelea Wilayani Beni...
  3. FRANC THE GREAT

    DRC: Jeshi latangaza kulitimua kundi la waasi kutoka Rwanda

    Jeshi la DRC latangaza kulitimua kundi la waasi kutoka Rwanda Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kulitimua kundi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda kutoka katika ngome yake mashariki mwa nchi, wiki chache baada ya kumuuwa kiongozi wake. Msemaji wa jeshi hilo Dieudonne...
  4. Sigara Kali

    Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

    Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
Back
Top Bottom