dstv

  1. Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

    Wakuu, kama bado hukuwa na taarifa ya kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maisha Magic Bongo ndani ya DSTV Barbara Kambogi na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite, tafadhali pitia hapa...
  2. Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

    Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake katika kipindi cha kampeni ya Afcon 2019. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bernard Bwakeya...
  3. Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

    Dstv kuanzia Oktoba, chaneli namba 160 haitakuwepo tena. Zingatia kuwa hii ndio chaneli pendwa na dada mama na wadogo zetu je ni kweli au ni tetesi tu
  4. Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  5. DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

    Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?
  6. DSTV Tanzania Wanisababishia Uharibifu Nyumbani

    Wanajukwaa wote nakuja kwenu kwa ushauri nichukue hatua gani. Niliomba fundi kufanya decoder installation mwezi wa tano kutoka kitengo cha huduma kwa wateja. Nikaletewa fundi, wakaja wawili bwana. Wakafunga decoder, wakati wa kufunga miguu ya tv, tv ikavunjika. Wakiwa pale mafundi wakaniambia...
  7. DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

    Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana. Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi...
  8. MSAADA: Nini suluhisho la tatizo la sauti kwenye decoder ya DSTV?

    Wakuu, salam kwenu Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder. Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri. Nilijaribu...
  9. Natafuta King'amuzi cha DSTV

    Habari natafuta mtu yeyote anayeuza kingamuzi cha DSTV aje inbox tuyajenge
  10. Nimenunua kifurushi cha Dstv cha shilingi 23,000 nimepewa Channel nne tu.

    Siku zote nimekua nikinunua compact ya cha 56000 elf kwaajili ya mpira sasa sitakuepo mwezi huu hivyo wife ameshauri tununue cha 23000 maana yeye hafatilii mpira zaidi ya maigizo tu Nikaona isiwe kesi Nikalipa sasa cha kuchekesha ni kwamba zimekuja channels hizo apo kwenye picha yaani...
  11. DStv now Account

    Wakuu natumaini salama Naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm. Nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
  12. DStv badilisheni mtangazaji na utangazaji wa Kiswahili kwenye mechi za Kombe la Dunia

    Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
  13. V

    Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Salaams Wana bodi, Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena. Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine...
  14. Thomas Mlambo karudi Dstv

    Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye Kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana.
  15. Ujuzi mdogo wahudumu wa DStv

    Wakuu bila shaka ukiacha wakazi wa Dar wengine wote MMEOGA. Kuna kitu kimenishangaza sana.Nililipia kifurushi Dstv lakini Channel hazikufunga ndani ya siku 9.Kila nikiwasha TV yangu nilipokea ujumbe huu THIS CHANELL IS BLOCKED BECAUSE IT MAY NOT BE PART OF YOUR PACKAGE (mwisho wa kunukuu)...
  16. D

    Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

    Wakuu Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
  17. Wale tuliounganishwa na kifurushi cha DStv Business halafu wakatubadilikia tukutane hapa tujifariji

    Wiki chache zilizopita mawakala wa DStv walitushawishi tujiunge na Dstv business kwa kifurushi cha Work Essential ambacho tulikuwa tunalipa 28,000/= na kupata mechi za EPL, La Liga, Serie A, Europa League na mechi chache za Uefa Champions League. Sasa kumbe ulikuwa mtego, watu tukaunganishwa...
  18. R

    Nawezaje kudistribute DStv Azam

    Habarini leo sina mengi naomben ujuzi nifanye nn ili niweze kudistribute dstv na azam katika vyumba ving ndan ya nyumba moja Na utaratibu upoje ASANTEN
  19. Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

    DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000. Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu...
  20. A

    Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Kifurushi Cha ofisi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…