Habari wana JF,
Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini?
Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi?
Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini?
Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni...