dstv

  1. Tuambieni DSTV, chaneli za ndani ni bure?

    Baada kutangazwa na waziri Nape kuwa chanel za ndani zinarudishwa DSTV . Je, kifurushi kikiisha zinabaki au zinafuta mpaka uweke kifurushi tena? Kwa walio na DSTV tujuzeni.
  2. F

    Ndugu Nape kuwa wakala wa DSTV sijapenda

    Alipaswa hili swala alizungumzie kwenye ofisi Yake ndogo DSM. Ameenda mbali zaidi na kusema hizo channel za bure zitakuwepo kwenye jicho king'amuzi. Makampuni Mengine yata hisi amebadilisha sheria kwa ajili ya kuipa upper hand DStv. Wakati kihuhalisia swala lilikuwa ni leseni walitakiwa...
  3. Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

    Waziri wa habari, Nape Nnauye ametangaza kurejeshwa kwa 'Free local channels' kwenye king'amuzi cha DSTV alipofika ofisi za Multichoice Tanzania akiyataja kama maagizo ya Rais Samia kurekebisha kanuni na Sheria. Agosti 12, 2018 DSTV ililazimika kuondoa chaneli za FTA baada ya mamlaka ya...
  4. DSTV fanyeni jitihada kuongeza FTA channels za Tanzania

    Uongozi wa DSTV fanyeni jitihada muongeze channels za Tanzania, badala ya kuturundikia channels za Kenya tu
  5. Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  6. Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

    Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
  7. Dstv yangu huu ni mwezi wa 3 nakula maisha

    Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia. Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa. Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
  8. Tetesi: DSTV kuleta king'amuzi cha antenna

    Kuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D. Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022. Wanaleta antena badala ya dishi. Pamoja na hilo pia wataleta decoder mpya ndogo saizi ya simu ya mkononi ambayo badala...
  9. C

    Yaliyowakuta FA na AY Fiesta kumkuta Menina Dstv?

    Baad ya Ay na Mwanfa kuwashtaki Tigo ilikuwa kimbembe jamaa wakiwa wadhamini wakuu wa Tigo fiesta wali wa block kabisa hao wawili kupafomu kwenye tamasha hilo haikujalisha ukaribu wa FA na Ruge ,wenye pesa zao walikataa kabisa Kipindi hicho AY alikuwa mtu wa kusafiri sana ila FA alikuwa kama...
  10. C

    Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

    Msanii, muigizaji, Mc Menina kaishtaki Multichoice akidai fidia ya 1.2 billions. Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbea cha ICU Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake Mairmatha Jesse, Juma Lokole, Kwisa walifika msibani wakahoji majirani waliodai marehemu alitelekezwa na Menina akiwa anaumwa akawa...
  11. Hapa DSTV wanapoteza wateja na mvuto wa biashara

    .
  12. INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

    Kwa Tsh 77,000 tu!! Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!! Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129 Offer hii ni kwa Dar pekee!! Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-...
  13. DSTV wanakera kwa kuibia wateja

    Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi. Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye...
  14. Nauza kin'amzi cha azam na dstv Mwanza

    Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu. Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
  15. Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

    Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri. Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa. Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda...
  16. TCRA mnajua usanii unaofanywa na DStv?

    Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini? Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa mchana tena ni usanii mtupu, haiwezekani tumelipia kifurushi ambacho hiyo channel inakuwepo halafu ghafla...
  17. DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    DStv Tanzania mmeamua kutuibia waziwazi au watu wenu wa huduma kwa wateja hawajui wanafanya nini. Nimewapigia simu kabla sijanunua kifurushi wakanihakikishia ya kuwa ntapata kifurushi cha juu yake badala yake wakaanza kuleta stori ya kuwa kifurushi kilikuwa upgrade kutoka January. Kama kuna...
  18. T

    INAUZWA DStv Decoder na dish lake linauzwa

    Nauza decoder na dish la DStv kwa sh 60000 tu. Eneo Kibamba mbezi mwisho Dar es Salaam 0659130177.
  19. Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

    Wadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya. Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano? Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL) Nani atakimbia?
  20. Dishi la DSTV linahitajika haraka

    Habari zenu! Natafuta dishi la DSTV ninauhitaji nalo kwa haraka sana mwenye nalo tuchekiane bei ni maelewano tu. 0655 780 270 Locations DSM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…