dua

  1. T

    Pre GE2025 Mbunge Nusrat Hanje ameandaa ibada na dua kumuombea Rais na Uchaguzi

    Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja. ==== Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Tukio hilo linafanyika...
  2. M

    Dua ya kumuombea Mbowe

    Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA. Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki. Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya chama, taifa, na mustakabali wa demokrasia, basi tuombe mapenzi Yako yatimie. Mshushie baraka na...
  3. SI KWELI CHADEMA imeondolewa Democrat Union of Africa DUA

    Salaam wanajukwaa Nimekutana na hii taarifa kutoka mtandao wa X kwamba CHADEMA imeondolewa kwenye huu umoja wa DUA, Democrat Union Africa, na inaonekana taarifa pia imechapishwa na JamiiForums lakini kwenye account zake sijakutana nayo, naomba kufahamu uhalisia wa hii wakuu.
  4. BAKWATA Mwanza wasoma dua ya kuwarehemu wapigania Uhuru

    BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika. Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao. https://youtu.be/3PyU0Qx-7MU?si=qyZ9R-NZCnD2AKX9 Leo tarehe...
  5. Kongamano la Ladies In Red

    Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel. Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka...
  6. Tumuombee dua Prof. Janabi aishi maisha marefu, kinyume chake mafundisho yake yatapuuzwa, Taifa litaangamia kwa vitambi

    Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha. Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu...
  7. Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  8. M

    Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

    1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam 4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika...
  9. Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

    Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni. Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi. Binti ya wangu...
  10. Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  11. ''Uhuru wa Tanganyika Umepatikana Kwa Dua'' Sheikh Iddi Chaurembo Maulid ya Mfungo Sita Msikiti wa Mtoro Mwinyi Mangara

    https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_ DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956 Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU. Waliokaa chini kutoka kulia: 1 Sheikh Hussen Mbegu 2... 3 Ania S. Chaurembo 4. Mohd I. Chaurembo...
  12. Dkt. Biteko: Watunzeni Wazazi na Kuwaombea Dua, pia waombeeni ambao hawapo hai

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai. “ Tuendelee kuwakumbuka na kuwaombea ndugu na wazazi waliotangulia mbele za haki ni jambo zuri na wajibu wetu tuliobaki...
  13. M

    Sio Soka tu, hata msigwa tumombee dua

    juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri ameunja record record za dunia. haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona. labda tusema mmoja akiingilia...
  14. Tuwakumbuke kwenye sala na dua wafuatao.

    1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto. 2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao. 3. Wanawake wajawazito wajifungue salama. 4. Walionasa kwenye madeni. 5. Wanaofanya kazi kwa wahindi. 6. Wanaopambana kujitoa kwenye aina mbalimbali...
  15. Maombi na dua yangu kwa taifa la Tanzania kwa yale yanayoendelea

    Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na nchi ile ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei...
  16. Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

    Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu. Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
  17. Dua zenu wakuu mwenzenu nishalogwa huku sio bure wallah ila Tanga duh!

    Habari ndugu zangu Kama mnavo ona
  18. Dua yenye nuru, itikia amiin

    👉ALLAH Akujalie Kheri Katika Dunia na Akhera 👉ALLAH Akuifadhi Katika Kila Hatua 👉 ALLAH Akusitiri Katika Aibu Zako 👉 ALLÀH Akupe Wepesi Katika Maisha Ya Dunia 👉 ALLAH Akurudhuku Moyo wa Ukarimu 👉ALLAH Akupe Marafiki wenye Kheri na Wewe 👉 ALLAH Akuepushe na Shari na Kila Aina ya Shari 👉 ALLAH...
  19. Dua ya Kura Tatu Mnyanyani Dua ya Mwisho Iliyoleta Uhuru wa Tanganyika

    Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano. Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake. Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…