dua

  1. T

    Jobless: Kila hatua dua

    Jobless wenzangu , Ninatambua kuwa maisha yanaweza kutuelemea wakati mwingine na kutufanya tuonekane kama tumekwama bila matumaini. Hata hivyo, natamani kuwahakikishia kwamba hata katika giza la usiku, kuna nuru ya kung'aa mwishoni mwa handaki. Kwa wale wote ambao wamekata tamaa, napenda...
  2. G

    Dua la kuku halimpati mwewe, tuliowahi kudhulumiwa / kuonewa kwa kuwa wanyonge huku wadhalimu wanaendelea kutamba tuweke mikasa yetu hapa

    Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo. 1. Nakumbuka...
  3. Makonde plateu

    Maelfu ya watu wamuombea dua Rais Samia

    MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dua hiyo imefanyika leo (Julai 28,2023) ikifanyika katika kipindi ambacho Rais Dkt. Samia anaungwa mkono...
  4. J

    Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  5. J

    Mbunge Mariam Ditopile aungana na wana Chamwino kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

    DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini Mbalimbali Kata ya Dabalo Jimbo la Chamwino Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua...
  6. MK254

    Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

    Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi. Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi...
  7. Mohamed Said

    Dua ya Muhammad Ali Kinshasa 1974

    DUA YA MUHAMMAD ALI KINSHASA 1974 Kwenye kitabu cha maisha yake, "The Greatest My Own Story," Ali anaeleza vipi mzee mmoja kutoka Cuba mchuaji wake misuli alivyokuwa anamnanga kuhusu yeye kujiita, "The Greatest." Akimwambia kama kweli wewe ni Greatest mpige Foreman siyo ajisifu kwa kumpiga...
  8. mdukuzi

    Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

    Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu). Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri. Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua. Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho...
  9. Pang Fung Mi

    Dua ya mwenye dhambi haina nguvu ya kushambulia

    Duniani kuna mzaha na utani mwingi sana, utakuta mtu yaani mlimwengu mzinifu, msherati,mlevi, mla rushwa, mbea, muongo, mwizi, mnafiki, mfitini, mtu wa dhuluma,muuaji. Hivi hawa watu wanapata wapi nguvu ya kusema oooh Mungu atakulipia, Mungu yupi huyo anaekuongoza kwenye hizo dhambi zako zote...
  10. S

    Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  11. J

    Dua zenu zimekubaliwa: Kenya haitaagiza tena chakula kutoka Tanzania 2023

    Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo Hii ni habari njema kwa wale...
  12. Vifaranga200

    Tuendelee kuomba Dua iendelee kunyesha

    Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
  13. GENTAMYCINE

    Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  14. Abu Ubaidah Commando

    Ndugu zangu nawaomba tuendelee kuwaombea dua wapalestina

    Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa. Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin! Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia...
  15. JanguKamaJangu

    Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  16. J

    Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Muhtasari wa elimu ya Maombi, Dua na Sala kwa Mtu Binafsi, na Familia

    MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
  18. Mohamed Said

    TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  19. DENLSON

    Dua maalum kwa taifa

    Ewe Mtanzania mwenzangu, nchi hii ni yetu tumepewa na Mungu aliyeziumba Mbingu na nchi. Tumepewa iwe urithi wetu. Ni jukumu na wajibu wetu kuiombea mema na kuikinga na mabaya dhidi ya maadui wote wa nnje na ndani hivyo njoo tumuombe Mungu ailinde nchi yetu dhidi ya maadui na wabaya. DUA Ee...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi awaomba BAKWATA kumuombea dua

    "Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
Back
Top Bottom