dua

  1. K

    Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

    Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..! OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo? Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF...
  2. M

    Jeff Bezos na wenzake wafanikiwa kurudi duniani baada ya kusafiri anga za juu

    Tajiri namba moja duniani Jeff Bezos, kaka yake, kibibi kizee miaka 82 na kijana mdachi miaka 18 wamefanikiwa kurudi duniani baada ya kusafiri anga za juu/mbali kwenye chombo chao The new Shephard. Safari iyo ya dakika 15 tu iliyogharimu mabilion. Kwa dakika moja walivyokuwa angani iligharimu...
  3. Kwanini Rais Samia naye anataka kutumia mabavu kutawala? Umuombee dua gani?

    Haiwezekani unazuia mikutano ya kisiasa wakati katiba inaruhusu, huwezi kuzuia watu kujadili katiba ya nchi wakati siyo uhaini wala hakuna katiba iliyovunjwa. Hivi kwani Uchamungu umekua ni msamiati mzito sana kwa watawala wetu? Unaweka makatazo batili maana yake nini? Yaani tusubiri ujenge...
  4. Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

    Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
  5. BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

    Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka. Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
  6. F

    Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria. Huyu Sheikh alitabiri miaka ya nyuma Waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi...
  7. Viongozi wa dini dua zenu kwa wanasiasa zimejaa machukizo na unafiki

    Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani. Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa kumuomba Mungu ampe afya na maisha marefu kwakuwa hamkuwa na dhamira ya kuomba bali maslahi. Mtu...
  8. Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  9. Tumuombee Rais Samia Suluhu dua njema, afungue milango ya ajira kwa vijana maana ishaanza kufungua

    Habari wadau! Wiki hii naona kuna malaika wa ajira anatembelea nyumba hadi nyumba. Taratibu milango ya ajira kwa vijana imeanza kufunguka hata kabla ya mama kubonyeza ile batani lakini automatically imeanza kufunguka. Naona vijana wengi hata wale wapiga kelele wa humu wameitwa kazini. Binafsi...
  10. Dua yangu kwa Paulo Makonda

    Saalaam kwenu WanaJamvi Baada ya pilikapilika nyiIngi kupita, pilika za kutangaza nia, kuchukua fomu, kampeni na hatimaye Uchaguzi mkuu hatimaye sasa Jahazi la nchi yetu limeanza kutulia kabla MZEE hajatangaza baraza lake la mawaziri na kuanza kusonga mbele rasmi kwa pamoja. Kwangu mimi...
  11. M

    Zanzibar 2020 Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

    Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
  12. M

    Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

    Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna watakavyoendesha na kusimamia uchaguzi huu. Wawe makini kwa sababu kuna dua nzito sana imeombwa na...
  13. CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

    Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
  14. T

    Serikali ipige marufuku dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa!

    Pamoja na kwamba mimi ni mwamini Mungu lakini naona huu utaratibu ni kama unatuvuruga tu wananchi, kwani unaondoa dhana ya kutenganisha siasa na dini. Isitoshe mambo mengi ya siasa yamejaa uongo uzushi jazba na visasi mambo ambayo ni kinyume kabisa na maombi/dua/sala za viongozi wa dini.
  15. Uchaguzi 2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

    Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni. Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na...
  16. Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

    Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu. Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye...
  17. K

    Salamu za Lissu DUA: Pamoja na wagombea wetu kuenguliwa, Watanzania wametuunga mkono kwa nguvu kubwa. Tunataraji ushindi mkubwa mwezi Oktoba

    Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, ametuma salamu zake kwa Democrat Union of Africa (DUA) ambacho kimefanya mkutano wa uchaguzi huko nchini Ghana. DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vya mrengo wa kati-kulia barani Afrika. Ilianzishwa huko Dakar, Senegal, mnamo 1997. DUA inalenga...
  18. M

    Uchaguzi 2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika Uchaguzi huu

    Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao halali wa nchi hii. Askofu Mwamakula amesoma dua nzito ya kuomba Mungu ashushe Malaika...
  19. J

    Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
  20. B

    Uchaguzi 2020 Esther Bulaya achukua Fomu ya Bunge, afanyiwa sala na Viongozi wa Dini

    17 Agosti 2020 Bunda Mjini Tanzania ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya akikabidhiwa fomu ya Kuwania ubunge wa jimbo hilo na Msimamizi wa Uchaguzi Janeth Mayanja ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…