Wana ukumbi habari zenu,
Ama baada ya salamu, nlikua nina Ombi kutoka kwenu kwa ajli ya nchi yetu.
Ama kwa ombi lenyewe ni kuomba Dua kwa aliyetuumba, atujaalie uchaguzi wa safari hii uwe wa huru na wa haki tumuombe pia.
Aliyetuumba kutupa Subra katika kila jambo na mwenye nia mbaya ya nchi...