dukani

  1. Mchochezi

    Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  2. Stability

    Leo nimeota kaja dukani kwangu

    Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake Hii inaweza kuwa inamaanisha nini. Maana napitia kipindi kigumu sana katika biashara yangu Bado na majanga ya haya...
  3. biznes_dealz

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani -Haitumii wino wala haijazwi wino -Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote. -Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  4. Eli Cohen

    Yani unakuta mzigo dukani wa milioni 5, kupamba duka milioni 8, Huduma 0 milioni, Utofauti 0 milioni. Hii ndio hali ya biashara nyingi za kisasa.

    Yani inafika wakati hauna varieties tofauti dukani ila duka lilivyopambwa sasa, mteja akija ana shangaa shangaa tu mataa ila bidhaa hauna. Sasa ndio nini. Inapelekea hadi wale watu wa kawaida kuogopa kuingia kwa kuhofia bei ni mkasi kwa maana goli lenyewe limekaa kama 5-star hoteli. Kumbe ni...
  5. G

    Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

    Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
  6. A

    Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    Habari wakuu, Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja. kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka...
  7. Waufukweni

    Jamaa adata na mwanamke aliyekuwa dukani, aingia na kuanza kupiga punyeto, anaswa na CCTV akijidharirisha

    Wakuu Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani hapo. Jamaa huyo alinaswa akipiga Punyeto, kitendo cha kujiridhisha waziwazi, jambo lililowafanya...
  8. Miss Natafuta

    Dukani kariakoo live:simu,TV,majiko,vifaa vya simu na computer.bei jumla

    Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa Nauza jumla na rejareja Karibuni sana. Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
  9. N

    Natafuta binti wa Dukani

    Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha. Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.
  10. Basi Nenda

    Umewahi kuuziwa maji ya Bomba dukani?

    Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji makubwa ya baridi,nikaletewa ila yana ladha ya ajabu japo yalikuwa na seal ( 2. Nilinunua duka la...
  11. Action and Reaction

    Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  12. G

    Router za dukani ni bei kubwa, kuna mtandao wa simu unaouza router za huawei zinazoweza kufunguka kusoma lain zote ??

    router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu. Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi. Ni mtandao upi wa simu kwenye maduka yao wana router za huawei ? Nimechagua huawei sababu kuna features nyingi na support...
  13. Mowwo

    Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

    Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa mida ya saa 2 usiku Baada ya kufika ilipo biashara tulisalimiana vizuri tu na kijana anaepiga kazi...
  14. Trainee

    Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
  15. Uhakika Bro

    Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

    Naomba kujuzwa na wajuzi👂 Yaani mfano ningeuliza ugali ni kemikali gani unasema ni kabohaidrati (CxHxOx) Sasa je, hii ndimu huwa ni nini. Ile ya unga ya dukani?
  16. G

    Nimemkamata binti wa dukani kaniibia kwa mbinu aliyoniibia mwanzo, Kazi hana mshahara umekwenda

    Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili. Niliweka binti wa kazi...
  17. Zeemadeit

    Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja...
  18. sky soldier

    Binti wa dukani ana mimba, aendelee kubaki ama aondoke?

    Wenye maduka nawaombeni msaada wenu. Nimeajiriwa lakini nina biashara za pembeni likiwemo duka ambalo nimemweka binti, mshahara wake ni laki 1 pamoja na elf 4 ya kila siku (chakula, nauli, choo) Kwa sasa karibu wiki 6 mfululizo lazima siku moja ya kazi anaenda clinic hafungui siku nzima, mfano...
  19. Melki Wamatukio

    Nimeenda dukani kununua sindano ya mkono usiku huu wakanikatalia na kunitilia shaka

    Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale. Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona...
  20. sky soldier

    Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
Back
Top Bottom