Nimeamini kuna watu wana kismati tuu. Wakati naanzisha hii biashara nilikaa mwenyewe kwa mda flani ambao nilikua free,
Nikaona mauzo yanaenda poa tuu,
Baada ya majukumu ya kikazi kuanza nikatafuta sista duu haswaa, nikamuweka pale, Mauzo yalashukaa, sio kama hana lugha nzuri, anahudumia vzr na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
Nawasalimu wote.
Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea Dar kuja mkoani.
Uzoefu wa biashara hii ningeupata kutoka kwenu ningeshukuru pia. Vitu...
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu.
1-Majiko ya umeme.
2-Pasi
3-Hita
4-Blenda zakusagia juisi.
Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
Habiri wana jamii
Je ni ipi njia nzuri ya kukufanya stoko dukani na njia rahisi maana kuna njia moja ninayo tumia ya kutumia daftari kilicho toka na kilicho ingia na kubaki imenishinda mimi kama mfanyakazi.
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.
- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao...
Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti"
Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu lakini akiwaoneni tu nyie mmekaa anaongea kwa Msisitizo na Sauti ya juu kabisa huku akiyasema haya...
Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi...
wadau habarini
mi nimenunua mzgo flani bana nimejitapa nao kweli
sasa nimegundua kumbe ishu ni feki na nimepigwa
mana inauzwa laki 3 mi nimetoa 4 na nusu najisikia vibaya sana
tuweni makini ujinga na ushamba mbaya
Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana.
Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma.
Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
Habari,
Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special).
Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA.
Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M.
NB: Fremu ipo free, ni yangu.
Mchango wa mdau
Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa.
Nini maoni yako kwenye game ya leo?
Salam wakuu,
Ni aina ipi ya mzani yenye ubora wa juu kwa ajili ya kupimia vitu kwenye duka la reja reja? Nazungumzia mzani mdogo wa kilo 20 kushuka au 15 kushuka chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.