dukani

  1. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  2. R

    Zile juice za dukani tunazoambiwa zinaongeza damu ni kweli zinafanya kazi hiyo?

    Wakuu, Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana. Hii ni kweli?
  3. NetMaster

    Utapeli: Hii ndio shida ya kununua simu za delivery mikoani, Kawekewa simu ambayo wateja wanaofika dukani hawaitaki

    Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi. Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
  4. sky soldier

    Rafiki yangu (34) anataka nimwambie binti yangu wa dukani (22) kwamba anampenda, hii ni sawa?

    Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano. wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee. Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa...
  5. Street Hustler

    TMDA CERTIFICATE: Yakazi gani dukani?

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  6. Street Hustler

    TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  7. MK254

    Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  8. sky soldier

    Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

    Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa. Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
  9. Mcqueenen

    Jinsi ya kuchagua nguo dukani

    Kuchagua nguo nzuri dukani kunaweza kuwa changamoto, lakini hapa kuna vidokezo kadhaa vinavyoweza kusaidia: Angalia ubora wa kitambaa - Kitambaa ni jambo muhimu sana kuzingatia wakati wa kuchagua nguo. Hakikisha unapata nguo yenye kitambaa chenye ubora mzuri na kinachoweza kudumu kwa muda...
  10. NetMaster

    Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

    Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar. Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.
  11. Guru Guja

    Paka wawili wamekufa dukani kwangu, jirani naye amefiwa

    Asubui ya leo nimekuta dukani ndani kabisa kuna paka wawili wamekufa na sijui walipoigilia sababu tumetafuta na wanafanakazi wagu hamna kabisa seemu ya paka kuigia. Tumewatoa tukawatupa kwenye mapipa ya takata ila tumepata habari jilani wa duka lagu amefiriwa watu wawil usiku wa kumuamkia leo...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    Kipi ni bora? Tv za mtumba (kutoka zanzibari) au tv mpya ya dukani?

    Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/= At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/= Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii...
  13. hp4510

    Nahitaji Ile midoli ya display za simu dukani

    Jaman nimefungua Duka la simu sasa naitaji Ile midoli ya simu ambayo inakuwa ni kama simu sema uwez kuweka line tu Inakuwa easy kumpa mteja aangalie the way simu anayoitaji ina specifications gani Naitaji hasa hasa ya Samsung note 8, Note 9 na samsung tab sm t865 Mtu mwenyewe nayo please nidm
  14. I

    Dada anatafuta kazi ya mgahawani au dukani

    Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mimi mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada sasa yupo nyumbani hali ni ngumu. Tafadhali kama una nafasi iwe kwenye mgahawa au dakani msaidie...
  15. Felixtz

    Msaada wa Nguo za dukani (readymade)

    Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi. Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza karibu na stendi ya Buzuruga, nina mtaji wa milioni 2.5, sasa wazo langu la biashara ilikua ni kuuza...
  16. Chance ndoto

    INAUZWA Tunauza nguo aina ya tshirts bell, truck suit nzuri sana. Karibu dukani

    Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi 18,000/- Pia tunauza kwa bei ya JUMLA. Wasiiana nasi whatsapp au piga simu 0719 100 591. Asante kwa...
  17. K

    Jipatie mashelf ya dukani ya chuma

    Mdau anauza mashelf yake ya dukani. Mahali yalipo ni mbezi ya kimara. Sababu ya kuuza ni anahamishia biashara yake mkoani hivyo hatoweza kuyabeba hadi mkoa anaohamia Bei ni maelewano kati yenu. Mawasiliano ni 0734079737.
  18. Msafiri mkusa

    SOFTWARE Mfumo wa dukani

    Habari Kwa majina naitwa msafiri juma ni mtengenezaji wa mifumo mablimbali ya computer Leo hii nawalea mfumo wa dukani amabou unaweza kutumika popote bila shida Unafanida nying saana kwa maelezo zaid nichek kwa namba yangu +255689878213 Apo chni ni muone kano ndani jins ulivyo nichek nikupe...
  19. BigTall

    Shinyanga: Watoto waliotumwa dukani usiku, wabakwa, walawitiwa, waliwa na fisi (ripoti ya Polisi)

    Watoto 10 wakazi wa Kata ya Mhongolo, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wamebakwa na kulawitiwa kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita na wengine wawili wakiliwa na fisi. Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia...
  20. Idugunde

    Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
Back
Top Bottom