duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    HAMJAMBO WADAU Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo. Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu. Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni? Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale...
  2. Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  3. Waziri Kairuki Akagua Mabanda ya Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
  4. Marais wakataa ndoa duniani

    Haya wakataa ndoa mmefikiwa🤡 Kumbe kampeni yenu ni kubwa ina watu wazito duniani. 1. Vladimir Putin Huyu bwana nafikiri watu wengi wanamfahamu hapa duniani. Kwa wasio mfahamu huyu ni Rais wa taifa la Russia huyu bwana yeye kama Rais wa wakataa ndoa duniani toka 2013 amekuwa akiishi maisha ya...
  5. Maneno Mazito aliyoyasema Mhandisi Zena Ahmed Said, Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Katika Siku ya Wanawake Duniani

    "Kauli Mbiu ya Wekeza kwa Mwanamke Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii. Huwezi kutoa usichokuwanacho. Wanawake ndiyo watoaji wakubwa wa mambo mengi kuanzia watoto wanavyozaliwa" - Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said "Kama tutakuwa...
  6. Equity Group yatajwa chapa ya 2 kwa benki imara zaidi duniani

    • Equity imeorodhesha kuwa chapa ya 2 ya benki imara zaidi duniani. • Equity yaibuka kama benki imara zaidi barani Afrika. • Thamani ya chapa ya Equity ilipanda kwa Dola Milioni 22 kutoka thamani ya mwaka jana ya Dola Milioni 428 hadi Dola Milioni 450 (Tzs. 114 bilioni). • Equity inakuwa...
  7. Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  8. Salamu za Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani

    Salamu za Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani.
  9. Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  10. Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
  11. Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  12. Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  13. Duniani Wanawake Waganda wanaongoza kwa kuwa na Mizigo au Matrakoo Asilia. Zunguka popote, hawa viumbe wamejaaliwa

    Panapo fursa yoyote ya kusema ukweli ni vema tuseme, wanawake Waganda ndio vinara wa kuwa na matako mazuri kweli kweli, Sina mengine kuhusu nyashi au mizingo hao wanawake Waganda hawana mpinzani popote pale duniani. Uganda is the most kabinalized country among women in the world...
  14. G

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wanapuuza elimu? Uwezo mdogo wa darasani? Hawataki elimu dunia ? Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard Havard...
  15. Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
  16. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  17. Tofauti ya siku ya Wanawake na Siku ya Mama duniani

    Kwa ufupi sana. Siku ya Kimataifa ya Wanawake inatambua mafanikio ya wanawake, bila kujali utaifa, kabila, dini, utamaduni, lugha, hali ya kiuchumi au mwelekeo wa kisiasa. Siku hii pia huongeza chachu katika harakati za mapambano katika usawa wa kijinsia kwa wanawake na wanaume katika jamii...
  18. P

    Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  19. J

    UWT yatoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi katika ushiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

    "Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi." "Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa...
  20. Pre GE2025 Mbunge Santiel Kirumba agawa taulo za Kike, Mashuka na sukari zahanati ya Bulige katika Maadhimisho ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na madaftari kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, kugawa sabuni na sukari kwa wanawake wajane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…