Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha.
Baadhi...
Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi.
Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa...
Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni.
Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya...
Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4
Operesheni hiyo imeanza kutoa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina pamoja ya idadi ingine ya vifo inotokea katika Ukanda wa...
Siku ya Kondomu Duniani, au World Condom Day kwa lugha ya Kiingereza, huadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Februari. Siku hii ilianzishwa na Shirika la Kimataifa la Uzazi wa Mpango (International Planned Parenthood Federation) na mashirika mengine ya afya ya kimataifa ili kuongeza ufahamu kuhusu...
Siku ya Redio, huadhimishwa Februari 13 ya kila mwaka kwa lengo la kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika kufikisha Taarifa kwa Jamii
Mwaka 2011, nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ziliitangaza Februari 13 kuwa Siku ya...
Ni kweli mmechota fedha nyingi kupitia udhaifu wake.
Ni kweli mmetorosha mali kupitia udhaifu wake.
Ni kweli mmeiba kupitia udhaifu wake
Ni kweli mmenunua mahekalu nje ya nchi kupitia udhaifu wake
Ni kweli mnamtengenezea safari hata zile hazina tija kwa nchi kupitia udhaifu wake.
Watanzania...
Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako
Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa...
Kumbuka mashirika ya kikristo yapo kwa ajili ya kuwahudumia watu wote bila kujali Imani zao. na mashirika haya yana ajiri watu bila kuangalia misingi ya Imani yako licha ni mashirika ya kikristo. yapo mashirika ambayo bado yanaendeshwa na kanisa na yapo mengine yanajiendesha yenyewe ila mali...
Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ?
Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya.
Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina...
Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani.
Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault.
Elon Musk anarejea...
Ni vitu vichache ambavyo vinasisimua zaidi kuliko kuwa na uelewa wa mambo fiche ya ulimwengu kama ulivyo na umbo lake. Na vitu hivyo sio vya watu werevu tu, bali pia ni vya kila mtu kuviwaza na kuvifikia.
Hebu tafakari pale ambapo kwa mara ya kwanza unafaulu kulifumbua fumbo, sana sana kwa...
Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni 207.9.
List ya mabilionea 10 duniani:
1. Bernard Arnault & family - TZS Trilioni 524.3
2. Elon Musk -...
Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda.
Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha.
Ukizidisha...
Salaam, Shalom!!!
(Isaya 4:1)
NA SIKU HIYO, WANAWAKE SABA WATAMSHIKA MTU MUME MMOJA WAKISEMA, TUTAKULA CHAKULA CHETU, NA KUVAA NGUO ZETU WENYEWE, LAKINI TUITWE TU KWA JINA LAKO, UTUONDOLEE AIBU YETU.
Maneno ya unabii huo yanakwenda kutimia, inakwenda kutungwa SHERIA kabisa kuruhusu wanawake...
Salaama?
Leo nilkuwa napitia picha za zamani, nikakutana na picha ambayo ilinifanya nilie kwa furaha, mwanamke shupavu, aliyejaa tabasamu usoni akiwa na beseni lake nyuma akiwa amebeba mtoto aliyefungwa na kanga. Hakika nimekumbuka mbali sana.
Mimi kipindi nakua mzee wangu alikuwa mlevi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.