Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
Zaki Khellaf huyu ni mmoja wa wasakata kandanda 'mahiri' zaidi kuwahi kutokea duniani. Ni mraibu wa soka anayetokea nchi ya Algeria anayefahamika kwa jina la Chouchaa(Shusha) maarufu duniani kote.
Choucha ni mchezaji wa 'ajabu' ambaye aliweza kutambulika kwenye mitandao kutokana na mapenzi yake...
Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni
Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani.
Mfano:
1) India na Pakistan
2) China na India
3) China na Philippines
4) Nigeria na Cameroon
5) Tanzania na Malawi
Migogoro...
Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani.
Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani.
Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera...
Shirika la Fedha Duniani IMF linasema Mwaka 2024 utashududia uchumi wa Dunia ukipungua Kasi ya Ukuaji wake Kwa miaka 3 mfululizo.
Licha ya kupungua uchumi wa Dunia ila upande wa pili Kuna habari njema ya Nchi 10 Zinazotajwa kuongoza Kwa Kasi kubwa ya Ukuaji wa Uchumi Duniani,Nchi 6 Zinatoka...
Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers'
Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho...
Hakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%
3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu...
Dunia yetu inapitia mageuzo mbalimbali yenye maendeleo. Kuanzia mifumo ya kijamii, uchumi na maendeleo mpaka teknolojia.
Kwa hakika, tangu kuanza kwa dunia takribani miaka bilioni nne hivi, wanadamu wamekuwa wakishuhudia mageuzo na mabadiliko mbalimbali katika kila zama.
Wote tunakubaliana...
Kila jambo lina mwanzo wake na mwisho kuna mwanzo wake pia hivi tunaweza kuwekeza fikra zetu kujua asili la ya jambo fulani? Mfano kati ya yai na kuku kipi kilianza? CCM na TANZANIA? WIZI na TAMAA tunapojua kiini cha jambo fulani tunaweza kujua namna ya kuondosha tatizo fulani.
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena.
Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.