duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Norah Mzeru Aongoza Wanawake Kupanda Miti Mvomero Katika Maadhimisho ya Wiki ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero. Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
  2. L

    Wataalamu wa habari wa Tanzania waona maamuzi yanayotolewa katika Bunge la Umma la China yanaleta athari za moja kwa moja duniani

    Wakati Mikutano miwili mikubwa inayofanyika kila mwaka hapa nchini China yaani Bunge la Umma (NPC) na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa, ikiwa imefunguliwa na kuendelea kufanyika katika Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, nchi mbalimbali duniani zimeanza kufuatilia kwa karibu zaidi mwenendo...
  3. Uchambuzi: Kuvuja kwa mazungumzo ya siri ya kamanda wa Ujerumani, Russia yaonyesha kuwa ipo juu katika medani ya ujasusi duniani, NATO washangaa

    Balozi wa Ujerumani alieko nchini Uingereza bwana Miguel Berger aliitwa katika ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ili atoe maelezo kuhusu kuvuja kwa rekodi ya mazungumzo ambayo kamanda wa jeshi la anga la Ujerumani alisikika akikiri kuwepo kwa vikosi vya jeshi la Uingereza nchini...
  4. Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini? Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka...
  5. Ukitafakari sana vitu vingi tunavyofanya hapa duniani ni uchizi mtupu

    Wana zengwe Kuna wakati najiuliza maswali sipati majibu sahihi, mfano ukikaa sehemu ya juu(ghorofani) au ukiwa na video camera say yenye njia 16 alafu ukawa unawaangalia watu, yaani matendo yao, movements zao na harakati zao sehemu kubwa unaweza ukaona mambo mengi yanayofanyika ni ya kichizi...
  6. Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kuidhinisha Utoaji Mimba kuwa haki ya Kikatiba

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameripotiwa kuwa anatumai marekebisho hayo ya katiba yatamtofautisha na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa - ambacho kinazidi kupiga kura kabla ya uchaguzi wa Ulaya mwezi Juni. France has become the first country in the...
  7. LeBron James avunja rekodi yake NBA, ni mchezaji pekee duniani kufikisha Pointi 40,000

    MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA) Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
  8. Nimeanza kupata marafiki wapya wanaojielewa kutoka huko duniani.

    Nilianza kimzaa mzaa, nikaanza kujiunga kwenye magrupu ya wafanya biashara, wajasiriamali, wanaofanya fedha za kimtandao n.k kutoka huko duniani. Nimekuwa namwaga nondo nzito, za kibiashara za kimataifa na namna ya kufanya uwekezaji wa hapa na pale popote duniani n.k Nimejikuta napata marafiki...
  9. L

    China yaendelea kuwa nguzo kwenye mafungamano ya uchumi duniani

    Katika siku za hivi karibuni mkutano wa Baraza la Uchumi wa Dunia kwa mwaka 2024 ulifanyika huko Davis, Uswisi. Waziri mkuu wa China Li Qiang aliiwakilisha China kwenye mkutano huo, na kutoa hotuba muhimu ambayo sio kama tu iliendelea kutoa imani kwa jumuiya ya wachumi duniani, bali pia...
  10. 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  11. T

    Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  12. Mtazamo wa msanii Balozi juu ya muziki wa hip hop duniani

    Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara. Balozi aliyewahi...
  13. Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
  14. Utafutaji wa pesa hapa duniani kuna wengine ni kama gereza na wengine happy day

    ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku. utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo...
  15. Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

    Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama. Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao. Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao. Hivyo ili...
  16. Shetani ni tajiri kuliko Mungu hapa duniani

    Luka 4:1-21 BHN Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru...
  17. Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani. Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
  18. Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

    Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza. Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel...
  19. Wanawake kuongoza Treni ya kwenda Hifadhi ya Nyerere kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (Machi 2)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameandaa safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere mnamo Machi 2, 2024 katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Februari 19, 2024...
  20. Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…