Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na...