Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo.
Tunathubutu kusema...
Wakuu,
Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana.
Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood.
Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo.
Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, leo Desemba 2, 2024, amesema Tanzania itakuwa nyuma ya China, Uhispania, Japan katika kuwa na reli...
Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani.
Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU).
Ni muhimu kuelewa kwamba si kila mwenye VVU ana UKIMWI. UKIMWI hutokea katika hatua za mwisho za maambukizi...
Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo.
Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ?
Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
WEWE NDIO MFALME WA STORY YAKO HAPA DUNIANI
: Hapa Duniani unavyoishi Tambua,wewe ndio kiongozi wa story yako😎
Na story yako inaandikwa na wewe mwenyewe maana,ndiye mwenye ufahamu wa halisi wa hali na mapito yako😎
Wengine wote ni wapenzi watazamaji,na wengine ni wapenzi waburudikaji,na wengine...
1. Biblia
Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima).
Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi zaidi kuliko kitabu chochote duniani.
---
2. Qur'an
Idadi ya Lugha: Takriban 200.
Maelezo...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ngoja tuanze na Shahiri kwanza
Shahiri:
Dunia tabu,
Duniani tabu haswa,.
Ukiishi tabu,
Ukizeeka tabu haswa,.
Ukifa tabu,
Ukizaliwa tabu haswa,.
Ukiwa na mali tabu,
Ukiwa masikini tabu haswa,
Ukiwa wa kike tabu,
Ukiwa wa kiume tabu haswa,.
NA HATA...
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza
Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu
Kusafirisha binafamu
Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara
Kwa Afrika wafanyabiashara mafia wanashirikiana na wanasiasa walioko madarakani
Hawa wafanyabiashara wanatoa mitaji na nyenzo...
Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu.
Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10.
Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu...
Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa.
Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989.
Ni fursa nzuri ya:
Kujifunza kuhusu haki za watoto...
Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali
Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za kijamii, elimu inayosaidia jamii, amani, n.k.
Kwa hapa Africa imekuwa ngumu sana, Kuna matajiri lakini...
Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.
Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.
Ila ikifika March 8, utashangazwa.
Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia.
Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na:
1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.