duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vichekesho

    Jeshi namba 6 kwa ubora duniani likaiokoe Congo DRC.

    Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana. Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama. Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
  2. mwambaasilia

    Kwanini tupo duniani?

    Wasalaam katika Jina la Mwenyezi Mungu.... Moja kwa moja kwenye mada... Tupo duniani kwa Neema ya Mwenyezi Mungu (upendo wake kwetu). Tupo duniani ili kumpendeza yeye aliyetuumba na kutii maagizo yake.... shetani (malaika aliyeasi)alikuwepo kabla ya kuumbwa sisi...
  3. Allen Kilewella

    China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

    Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani. Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka. Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja. Kwa Afrika, Afrika ya...
  4. Sir John Roberts

    Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  5. Loading failed

    Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  6. Logikos

    Orodha ya Vyama vya Siasa vyenye Wanachama wengi duniani (According to Wikipedia)

    According to Wikipedia Vyama vikubwa ni Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million Between 5 to 50m CCM ipo namba Tisa ikiwa na wanachama 12 million Democrats USA; Namba 5 (45 M) Republican USA Namba 6 (36M)...
  7. chiembe

    Kwanini viongozi wa CHADEMA wako karibu mataifa yanayounga mkono uonevu?

    Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo. Wengine wanasema kwamba akiwa anatoka katika ubalozi...
  8. BLACK MOVEMENT

    JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  9. Morning_star

    Hapa! Nimemkubali Tulia Akson! Mkuu wa mabunge yote duniani kutoka Tanzania

  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mwanaisha Ulenge katika Mkutano wa Jukwaa la Wabunge Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika Jijini Geneve, Switzerland Wenye Mada Kuu ya kuunganisha Sayansi na Ubunifu kwa Amani na Kesho...
  11. Pfizer

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  12. FaizaFoxy

    Habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii

    Tupia hapa, kwa mistari michache na ikiwezekana link ya kwenye habari kamili kwa habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii.
  13. R

    Mjadala wa Diaspora Tanzania umefia wapi? Tunao kweli wanadiaspora Duniani au ukanjanja mwingi?

    Nawatafuta wanadiaspora watueleze kwanini hawana mchango chanya kwa nchi yao. Kwanini hawana vitu vyakuonekana vinavyoweza kusaidia kusukuma Agenda yao mbele ya wanasiasa na watoa maamuzi nchini? Mhe. Rais ameonyesha nia njema yakusupport Movement zao lakini wao huko Duniani wamegawanyika kila...
  14. R

    Kwanini Duniani Mawaziri wa Fedha hawana historia ya kuwa Marais?

    Mawaziri wa fedha katika nchi nyingi Duniani hawana historia yakuwa Marais wa Nchi. Lakini ni mawaziri wachache wa fedha ambao upendwa na wananchi baada ya kushika wadhifa huo. Ni zipi zinaweza kuwa sababu za viongozi hawa wa potifolio muhimu serikalini kutoaminika na kupewa nafasi ya juu? Ni...
  15. Mlaleo

    Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
  16. U

    Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  17. Thabit Madai

    Kima punju; mnyama apatikanaye vijijini Zanzibar pekee duniani

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna vivutio vingi vya asili ambavyo hupatikana ndani yake nakuifanya kuwa maarufu zaidi Duniani. Vivutio...
  18. Victor Mlaki

    Yanayojiri leo katika maaadhimisho ya siku ya Walimu Duniani: Bukombe 2024

    Leo tarehe 11/10/2024 ikiwa ni siku pekee ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu Duniani yanayofanyikia katika Wilaya ya Bukombe yakibebwa na kauli mbiu " WALIMU NI NYOTA INAYOANGAZA" yameanza muda huu huku kukiwa na kila aina ya shamrashamra za furaha. Hakika, aina za "t- shirt" na rangi zake...
  19. State Propaganda

    Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  20. Yoda

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
Back
Top Bottom