ebola

  1. JanguKamaJangu

    Wasafiri Stand ya Magufuli (Dar es Salaam) kupimwa maambukizi ya Vizuri vya Ebola

    Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam. Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
  2. JanguKamaJangu

    Kampala: Kifo cha kwanza cha Ebola charipotiwa

    Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na...
  3. BARD AI

    Uganda yaridhia kufanyiwa majaribio ya chanjo 8 za Ebola

    Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo. Uganda inakabiliwa na Kirusi cha Sudan wakati chanjo zilizoingizwa nchini humo zilikuwa za Kirusi cha Zaire. Mkurugenzi Mkuu...
  4. Sildenafil Citrate

    Watafiti: Virusi vya Ebola nchini Uganda vimebadilika

    Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika. Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali. Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
  5. BARD AI

    Mfanyakazi mwingine afariki kwa Ebola Uganda

    Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti. Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi. "Muuguzi huyo...
  6. BARD AI

    Daktari Mtanzania aliyefariki kwa Ebola azikwa Uganda kuepusha maambukizi

    Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022. Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
  7. BARD AI

    Waathirika wa Ebola watakiwa kuacha Ngono kwa siku 90

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona. Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
  8. JanguKamaJangu

    Waliofariki kwa Ebola wafika 23, mgomo wa madaktari waungwa mkono

    Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36. Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari wa Uganda amedai wafanyakazi wa afya wapo sahihi kutoka huduma maeneo yaliyoathirika kwa madai...
  9. BARD AI

    Congo DR yatangaza kumalizika kwa wagonjwa wa Ebola

    Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la Ebola. Ebola iliripotiwa kurejea tena Agosti 22, 2022 baada ya Virusi hivyo kugundulika katika mji wa...
  10. BARD AI

    Ebola yazidi kusambaa kwa kasi Uganda, vifo vyafikia 19

    Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7 vilivyoripotiwa Sept. 23,2022. Wizara hiyo pia imesema jumla ya vifo vilivyothibitishwa na...
  11. JanguKamaJangu

    Uganda yatangaza wagonjwa wengine 6 wa Ebola

    Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende. Aidha, mamlaka inafuatilia vifo vya watu wengine saba kikiwemo cha mtoto wa mwaka mmoja kujua kama...
  12. JanguKamaJangu

    Ujue Ugonjwa wa Ebola, dalili, unavyoambukizwa, madhara...

    Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
  13. BARD AI

    Mgonjwa mwingine wa Ebola afariki Uganda

    Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo. Maafisa wa afya wanasema kuwa marehemu alikuwa mmoja wa watu 14 waliolazwa hospitalini wakiwa na dalili kama za Ebola...
  14. BARD AI

    Serikalil: Hakuna mgonjwa wa Ebola nchini

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa mmoja vipimo vya maabara kuthibitisha kuwa anaugua ugonjwa huo katika...
  15. JanguKamaJangu

    Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  16. Sildenafil Citrate

    Tanzania yaanza udhibiti wa Ebola mipakani

    Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda jana usiingie nchini. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa...
  17. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ebola Yazuka Uganda: tujiandae kwa chanjo?

    Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia huku vipimo vikionyesha alikuwa na dalili za Ugonjwa huo. Chanzo: ITV
  18. Lady Whistledown

    Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  19. BARD AI

    Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

    Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini. Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
  20. BARD AI

    Congo DR kuchunguza mgonjwa anayehofiwa kufariki kwa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mamlaka za Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeanza uchunguzi ili kubaini sababu za kifo cha mwanamke kutoka mji wa Beni anayedhaniwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola. Mji wa Beni ni moja ya vituo vikuu vya mlipuko wa Ebola ambapo tangu mwaka...
Back
Top Bottom