ebola

  1. JanguKamaJangu

    DRC yaanza kutoa chanjo ya Ebola baada ya wawili kufariki, 230 wakiambukizwa

    Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO)...
  2. JanguKamaJangu

    DRC: Mgonjwa wa pili wa Ebola afariki dunia

    Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo kutokea DRC. WHO imesema uchunguzi wa vinasaba ulionesha maambukizo mapya...
  3. beth

    DR Congo yaripoti visa nane vya Ebola

    Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ya Visa hivyo, waliofariki dunia ni sita. Mlipuko uliopita ambao uligharimu...
  4. beth

    DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  5. beth

    Kisa kipya cha Ebola charipotiwa DR Congo

    Waziri wa Afya, Jean Jacques Mbungani amethibitisha kisa kimoja cha Ebola Mashariki mwa Taifa hilo, ikiwa ni miezi 5 baada ya mlipuko wa hivi karibuni kuisha Bado haijafahamika ikiwa kisa hicho kinahusiana na mlipuko wa 2018 - 2020 ambao ulipelekea vifo vya watu zaidi ya 2,200 Mtoto wa miaka 3...
  6. Sam Gidori

    DRC yatangaza tena maambukizi mapya ya Ebola

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika jimbo la Kivu Kaskazini hapo siku ya Jumapili baada ya mwanamke mmoja kufariki kwa ugonjwa huo, ikiwa ni miezi mitatu tu tangu mamlaka ya afya kutangaza kuwa mlipuko wa awali wa ugonjwa huo ulikuwa umedhibitiwa...
  7. MK254

    Ebola yaibuka DRC huku wakipambana na Corona na vita baina yao

    DRC ni kama wana gubu, yaani kisirani fulani hivi, corona inawatesa, hawajatulia Ebola imewakondolea macho tena halafu walivyo wa ajabu bado wanapigana licha ya mahangaiko hayo.... ====== Five people, including a 15-year-old girl, have died of Ebola in a fresh outbreak of the virus in the...
  8. Miss Zomboko

    Marekani yaidhinisha kuanza kutumia dawa ya Ebola kuwatibu wenye CoronaVirus

    MAMLAKA ya Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya ebola ‘remdesivir’ itumike kutibu wagonjwa wenye virusi vya corona. Ruhusa ya kutumika kwa dawa hiyo kwa sasa imetolewa kwa watu waliolazwa hospitalini tu kwa ugonjwa wa homa ya mapafu Covid-19. Jaribio la...
  9. DocJayGroup

    Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

    Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
  10. Miss Zomboko

    Mila na desturi zakwamisha mapambano dhidi ya Ebola DRC

    Mila na desturi zinatajwa kuwa miongoni mwa changamoto katika shughuli za kupambana na ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Utamaduni ambao wananchi wameuzoea umekuwa ukirudisha nyuma jitihada mbalimbali za kujikinga na maambukizi. Jinsi shughuli za...
  11. Analogia Malenga

    Rwanda yaanza kampeni ya kutoa chanjo dhidi ya Ebola

    Serikali ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimezindua kampeni ya pamoja ya kutoa chanjo ya homa ya Ebola. Chanjo hiyo ilianza kutolewa jana mjini Rubavu nchini Rwanda. Hayo yanajiri wakati ambapo shirika la madaktari wasio na mpaka wiki iliyopita likitangaza kuondoka kwenye jimbo la...
  12. Webabu

    Wapemba kupimwa Ebola ni aina ya Uzayuni

    Wiki iliyopita nilipata ugeni wa ndugu yangu kutoka Pemba aliyeamua kutumia meli ya Azam inayotia nanga Tanga.Katika mazungumzo yetu alisema kila kitu katika safari kilikuwa shuwari lakini adha kubwa waliyoipata ni wakati wa kuteremka.Kwani lango kubwa la meli halikufunguliwa badala yake abiria...
  13. Miss Zomboko

    Shambulizi kwenye kituo cha Ebola DRC laua wafanyakazi 4 na kujeruhi 5

    Shirika la afya duniani (WHO) limesema mashambulizi mawili yaliyotokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya wafanyakazi wanne wanaoshughulikia mlipuko wa Ebola nchini humo na wengine watano wamejeruhiwa. WHO imesema mashambulizi hayo yalitokea usiku kwenye...
  14. Analogia Malenga

    Waasi wawaua watu watatu katika vituo viwili vya Ebola DRC

    Waasi katika jimbo la Ituri wamevishambulia vituo viwili vya matibabu ya Ebola vinavyoendeshwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), katika uvamizi uliofanyika usiku wa kuamkia Alhamisi na kuwauwa wahudumu watatu. Taarifa zinasema kuwa miongoni mwa watu waliouawa ni wafanyakazi wa WHO na kwamba...
  15. Miss Zomboko

    DRC ina matumaini ya Ebola kuisha mwishoni mwa mwaka huu

    Rais wa DRC Félix Tshisekedi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amesema ana matumaini makubwa kuwa, maambukizi ya Ebola, yatamalizika nchini humo kufikia mwisho wa mwaka huu. Tshisekedi ametoa kauli hii, akiwa ziarani jijini Berlin nchini Ujerumani, baada ya kuzinduliwa...
  16. Wakulonga

    Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

    Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
  17. Influenza

    Shirika la Afya Duniani (WHO): Tanzania hakuna Ebola

    SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Kitengo cha Kupambana na Magonjwa kutoka Marekani (CDC), wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna mlipuko wa ugonjwa wa ebola. Uthibitisho huo umekuja baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kuruhusu kuchukua...
  18. Parable

    WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

    Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli. Kwanini hili Swala linafanywa siri? ======= Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We...
Back
Top Bottom