education

  1. F

    Is Education Better Than Money? Elimu shule za gharama vs Asset kwa mtoto wako ipi itamfaidisha ukubwani

    Habari wadau. Najua wengi tunaikumbuka hii Debate Topic "Is Education Better Than Money? Kipindi tunashiriki hii debate tulikuwa wadogo na wategemezi. Nina imani sasa tumekuwa na tumeona mengi kwenye maisha. Je wewe kama mzazi unaona lipi litamfaidisha sana mwanao akifikia umri wa...
  2. Investaa

    Marketplace for education purposes (Notes & Solved Past Papers)

    Habari walimu! Nimeona nitengeneze ajira kwa walimu wa secondary na chuo kikuu kwa kutengeneza APP ambayo mwalimu anaweza kuuza ebook (electronic book) kwa kutumia simu au laptop yake akiwa sehemu yoyote ndani ya Tanzania. Nadhani hii itasaidia kupunguza unemployment rate kwenye upande wa...
  3. Jamii Opportunities

    Digital Education Coordinator Job at Save the Children

    Digital Education Coordinator Kigoma Save the Children The Save the Children Fund, commonly known as Save the Children, was established in the United Kingdom in 1919 to improve the lives of children . Save the Children has been working in Tanzania for more than 30 years. We are working with...
  4. Abdul Ghafur

    Abraar Education Centre Mafunzo tofauti ya muda mfupi

    Hapa Abraar Education Centre tunatoa mafunzo yafuatayo kwa vitendo... 1) Mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi (masonry). 2) Mafunzo ya ujenzi (masonry). 3) Mafunzo ya lugha ya Kingereza (Engloish language). 4) Mafunzo ya ya Lugha ya Kiarabu (Arabic language). Na hivi karibuni mafunzo ya...
  5. Jamii Opportunities

    Education Associate at UNHCR

    Eligible Applicants This position is advertised open to Group 1, Group 2, if applicable and external applicants. Procedures and Eligibility Interested applicants should consult the Administrative Instruction on Recruitment and Assignment of Locally Recruited Staff (RALS). Duties and...
  6. Abdul Ghafur

    Abraar Education Centre tumeunda pavers zenye faida kubwa kiafya

    Katika muendelezo wetu wa kubuni vifaa vya ujenzi vya kipekee vyenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, sasa tuna pavers paving bloks za kipekee Tanzania (kama sio duniani). Pavers zetu hizi tunaziita Abraar Massage Stepping Stones. Kwanza jioneneezi zilivyo, halafu tutaendelea kuwaelezea...
  7. D

    Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  8. Jamii Opportunities

    Multiple Positions at Mkwawa University College of Education (MUCE)

    Multiple Positions at Mkwawa University College of Education (MUCE) June, 2022 The Mkwawa University College of Education is a constituent college of the University of Dar es Salaam in Iringa, Tanzania. The College was established in 2005 following the upgrading of the former Mkwawa High School...
  9. frangwi12

    Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  10. Texaz

    USHAURI: Kwa matokeo haya nisome kozi gani?

    Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
  11. Jamii Opportunities

    Various Teaching Positions (Aga Khan Primary School) at Aga Khan Education Service

    Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES,T ), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate PYP/ Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7-9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the...
  12. Jamii Opportunities

    Drivers at Institute of Adult Education IAE 4 posts

    Institute of Adult Education was established in 1975 by Parliamentary Law No. 12. It is one of the leading educational institutions under the Ministry of Education, Science and Technology (Moist). Currently, the Institute is looking for civil servants who are willing to join by transferring to...
  13. and 300

    Siasa za Bachelor of Education (Adult & Community Education)

    Sisi wahitimu wa hii kozi tunataabika mtaani mpaka aibu. Yaani unaomba ajira unaambulia kebehi tu
  14. B

    diploma in education (arts) kwenye mfumo wa ajira tamisemi

    kuna mtu amefanikiwa kuweka masomo ya kufundishia
  15. Jamii Opportunities

    Chief Finance Officer at The Aga Khan Education Services (AKES)

    Chief Finance Officer Aga Khan Education Services The position Position Summary The CFO Tanzania will provide leadership in finance, ICT, procurement and general administration in AKES, T. S/he will ensure effective risk management as well as compliance with AKES, T policy and professional...
  16. Jamii Opportunities

    Chief Finance Officer at The Aga Khan Education Services (AKES)

    Chief Finance Officer Aga Khan Education Services The position Position Summary The CFO Tanzania will provide leadership in finance, ICT, procurement and general administration in AKES, T. S/he will ensure effective risk management as well as compliance with AKES, T policy and professional...
  17. YEHODAYA

    Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education. Kenya wazazi, walimu na wanafunzi hawaitaki

    Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa Competent based wataufuta sababu walimu hawautaki,wazazi hawautaki na wanafunzi hawautaki na wanashangiliwa...
  18. MK254

    Tulifumua mtaala na kutengeneza upya mkatucheka, oneni sasa wenyewe mnajisema - Why Tanzania’s education is a joke

    Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii...
  19. Mutaitina

    The Kenyatta education declaration

  20. beth

    Januari 24: Siku ya Kimataifa ya Elimu (World Education Day)

    Siku ya Kimataifa ya Elimu huadhimishwa kila Januari 24. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, hivi leo Watoto na Vijana Milioni 258 hawaendi Shule. Vilevile kwa mujibu wa Shirika la UNESCO, Watoto na Vijana Milioni 617 wanaoenda Shule hawawezi kusoma na kufanya Hesabu za kawaida. Wengine...
Back
Top Bottom