elimu kwa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baraza la ardhi na nyumba la wilaya iringa lashiriki kliniki ya ardhi, latoa huduma za utatuzi wa migogoro na elimu kwa umma

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa kutoa huduma za utatuzi wa migogoro ya ardhi, ushauri wa masuala ya ardhi na elimu kwa umma kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania TCRA imezindua tena kampeni ya elimu kwa umma iitwayo "Futa delete kabisa"

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. Rolf Kibaja, ametoa wito kwa umma kutumia huduma za mawasiliano kwa njia sahihi na salama. TCRA imezindua tena kampeni ya elimu kwa umma iitwayo “FUTA DELETE KABISA”, ikilenga kuendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…