Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya utafiti (research) na kuufanyia utetezi (defence) katika muhula huu.
Hata hivyo, wanafunzi wanalalamikia muda mfupi waliopewa, kwani muhula huu wana masomo matano pamoja na jukumu la kufanya research na...
Anonymous
Thread
biashara
chuo
elimuelimuyaelimuyabiashara
utaratibu
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
Anonymous (e6c9)
Thread
ajira portal
biashara
cbe
chuo
diploma
elimuyabiashara
mwanza
portal
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024.
Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
Katika uzoefu wangu kwenye biashara aisee kufanya biashara na watu wanaojiita wasomi ni kazi ngumu sana, kwanza ni waoga kuthubutu, kila kitu wanataka reserch.
Hawajui kanuni za biashara ya kwenye vitabu huko vyuo ni tofauti na uhalisia mtaani. Unafundishwa na mtu ambae hajawai kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.