KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma kinachoonesha nimesoma miaka miwili NTA LEVEL 5 & 6.

Lakini nlivyojaribu kufatilia hicho kingine cha mwaka wa kwanza yaani NTA LEVEL 4 Certificate nikaambiwa bado haviko tayari tangu Mwaka 2025 nafatilia sipati solution.

Nimeshindwa kujisajili Ajira Portal kwa sababu nikiweka nimesoma miaka 3 naomba nakala ya vyeti na mimi nina Cheti cha Miaka miwili hicho cha mwaka mmoja sina.

Siyo mimi tu yaani ni wahitimu wote tuliohitimu 2024 CBE - MWANZA Tuliosoma Ordinary Diploma ya Miaka mitatu.
 
unaweka miaka mitatu kivipi wakati certificate ni mwaka mmoja na unachagua umesoma nn kama hauna weka cha form four na cha diploma jaza miaka 2 acha kuunganisha miaka, certificate ni certificate na diploma ni diploma siku ukiitwa usahili nenda na cha diploma na form four
 
Back
Top Bottom