Katika uzoefu wangu kwenye biashara aisee kufanya biashara na watu wanaojiita wasomi ni kazi ngumu sana, kwanza ni waoga kuthubutu, kila kitu wanataka reserch.
Hawajui kanuni za biashara ya kwenye vitabu huko vyuo ni tofauti na uhalisia mtaani. Unafundishwa na mtu ambae hajawai kufanya...