Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto.
Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali kuibua vipaji mbalimbali vya watoto kupitia vipengele vifuatavyo
1.UTANGULIZI.
2.TATIZO LIKO WAPi...
Kuna wakati binadamu inabidi tusikilize ujinga ile tuweze kunga'mua kilichofanyika na wengine kuwa ni ujinga ila usipo sikiliza huo ujinga hutoweza kuujua ujinga muda mwingine inabidi tusiupuzie ujinga . Sio lazima ukubaliane na mimi ila waza mwenyewe.
Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla.
Uongozi ni kitu muhimu kwenye kila kitu(ngazi) iwe Taifa, familia, Taasisi, Biashara na hata katika maisha ya mtu...
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?
Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms.
Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine.
Mara zote account...
Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi.
Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini kijana wetu msomi... Daaaah!
Nikapiga hesabu muda niliotumia shule... Miaka 7 msingi + miaka 4...
Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
Kuna mdau kauliza swali kuhusu Vimondo kikiwemo na kile kinachopatikana Jijini Mbeya katika wilaya ya Mbozi. Nitajibu kwa ufupi tu, ili na wengine wapate kuelewa kuhusu Vimondo na chimbuko lake.
Ipo hivii.........kijiografia chimbuko la vimondo vingi vilivyopo huko angani (outer space) vimetoka...
Habari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya.
Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili.
Karatasi zilizo zidi...
Anonymous
Thread
elimu
hali
hii
michango
sekta
sekta ya elimu
wahusika
Wengi tumebahatia kusoma na tuliamua kuchagua kusoma masuala fulani ili yaje yatusaidie kwenye ajira. Kwako Mdau, wewe ulichosoma ndicho unakifanyia kazi kwasasa?
BAJETI YA KULETA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU YAPITA KWA KISHINDO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele vitano vya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ili...
ACT WAZALENDO ELIMU ISIMAMIWE NA WIZARA MOJA.
Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema Hamidu Bobali ameitaka Serikali kuhakikisha sekta ya Elimu inasimamiwa na Wizara moja ili kuondoa mgongano katika usimamizi, utekelezaji na uwajibikaji. Kwa sasa Sekta ya Elimu inasimamiwa na...
"TANZANIA TUITAKAYO": Mfumo wa Elimu wenye Mwelekeo wa Ujuzi kwa Vizazi Vijavyo
Katika dunia inayobadilika kwa kasi, elimu imekuwa kiini cha maendeleo na ustawi. "TANZANIA TUITAKAYO" inatoa maono ya kubuni mfumo wa elimu ambao unawapa wanafunzi ujuzi muhimu na ujuzi wa vitendo, na kuwawezesha...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
Inafahamika ni gharama sana kwa sisi kuanzisha mitaala yetu ,lakini ni dhahiri na ni wazi kuwa tutakapo iianzisha na kuisimamia itakuwa ni yenye Tija.
Tuanze na
★★Elimu ya Sekondari ya juu yaani kidato cha tano na sita.
Wazazi ambao wengi ni wakulima hipa ada.
Vijana hao wakifauru huendelea...
Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele!
Hali hii imeanza kuota mizizi katika jamaa nyingi za kitanzania, wazazi na vijana wameanza kuwa na wasiwasi na shaka juu ya dhana nzima ya...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia chini ya Waziri Mhe. Prof. Adolf Mkenda imeomba bunge kupitisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara yenye jumla ya Shilingi 1,968,212,534,000.00.
VIPAUMBELE
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.