elimu

  1. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  2. Sioni haja ya kwenda chuo

    Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi. Walio na vyeti mtaani hawahesabiki. High school is a necessity, but collage is a...
  3. Fahamu Kuhusu Taarifa za Fedha za Biashara

    Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika. Utangulizi. Katika biashara...
  4. Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  5. Waziri Bashungwa: Wanafunzi Wapewe Elimu ya Matukio ya Dharura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Viongozi na Wasimamizi wa Shule za Serikali na binafsi kutoa elimu kuhusu matukio ya dharura yanayoweza kutokea katika mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na elimu juu ya majanga ya moto ambayo yamekuwa yakitokea...
  6. M

    Ufaulu kuchaguliwa advance Shule ya Ufundi Tanga

    Hivi Tanga technical school advance wanachukua kuanzia ufaulu upi?
  7. Maboresho ya sekta ya elimu yanaendelea kwenye shule za kata

    Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara. Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe. Janejelly James Ntate, Ambaye Alihusia na Kuwatia Moyo Wanafunzi Waliohitimu Kidato Cha Nne...
  8. M

    Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  9. Tuangalie upya Mfumo wa Elimu ya MASTERS & PHD

    Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona haupo sawa. Huyo mtu, akisimamishwa na mtu aliyesoma tourism kwa ngazi zozote (Certificate...
  10. TAWA yaweka kambi rufiji, elimu ya kuepuka madhara ya mamba na viboko yatolewa Na. Beatus Maganja

    Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa...
  11. CAG Kichere: Wizara ya Elimu haijatoa Tsh. Bilioni 1.23 za Elimu Bure

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia haijatoa Sh1.23 bilioni kwa ajili ya elimu bila malipo, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini. Kulingana na ripoti kuu ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyowasilishwa leo Jumatatu, Aprili 15...
  12. Wanawake naombeni mnipe elimu juu ya hili swala

    Habari 👋 Wakuu naombeni mchango wenu, ni swala linalohusu mahusiano. Nipo katika mahusiano na mwanamke(22) ambaye juzi nimetoka kumtoa bikra. Cha kushangaza ni kwamba maumivu kwake hayakati, hii ni mara ya nne sasa tunafanya mapenzi lakini bado anasikia maumivu, hii ni hali ya kawaida?? Mara...
  13. Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  14. Changamoto kwenye maombi ya ajira Mfumo wa TAMISEMI upande wa Afya na Elimu

    Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei? Msaada wanaujua hili suala.
  15. R

    Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  16. O

    Mkanganyiko juu ya siku za mwanamke nipeni elimu

    Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba? Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona...
  17. C

    Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

    Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
  18. Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
  19. Dkt. Slaa: Wananchi hawahitaji Elimu ya Katiba ya Miaka mitatu, mchakato urejeshwe

    https://www.youtube.com/watch?v=xoyfxK2zxJk Nipo nawasikiliza Wachambuzi wa masuala ya Sias wakijadili Katiba Mpya. Baadhi ya washiriki wa mjadala ni: Dkt. Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji, LHRC Dkt. Willibrod Peter Slaa, Mbunge Mstaafu Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu , ACT-Wazalendo Salma...
  20. Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

    √Kwa mujibu wa kitabu cha "THE SECRET HISTORY OF THE WORLD" Inaelezwa kwamba katika kipindi cha kale mafundisho ya siri na ibada za tambiko za siri zenye nguvu na majibu ya papo kwa papo zilikua ni utaratibu au mafunzo muhimu yaliyotolewa kwenye Mystery schools /Shule za siri na Mystical Temple...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…