Kuna tatizo kubwa kwenye ubora wa elimu yetu, mimi siyo muandishi mzuri ila nimeona mfumo wetu wa elimu unajenga watu kukariri ili ufaulu mtihani na siyo kujifunza au kuelimisha
Hii imepelekea mashule yamejikita kufanya njia yoyote hata ya haramu ili mradi wanafunzi wao wapate ufaulu wa juu na...