Kwanza napenda kukupongeza wewe binafsi kwa kuwa nakuona unajitahidi sana kujaribu kuleta suluhu kwenye suala la ubora wa elimu yetu.Hata hivyo jitihada zako pamoja na washauri wako bado hamjaweza kutatua kiini cha tatizo ambalo kimsingi sisi wadau wengine tunaliona.
Mimi sina elimu kubwa...
YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION
FO MATERIALS
Click the Link Below to Get the Complete Guide for Free in Your Email:
👇👇👇👇👇👇👇
https://docs.google.com/document/d/1foJQ2GghLGSldEkj3DjdTMNeHv4fbHST4Waw0yf6BdM/edit?usp=drivesdk
JOIN OUR CHANEL
👇👇👇👇👇👇...
Nina umri wa miama 31 na sikuwahi kujua kuhusu Elimi hii.
Nimetenga Mwaka mzima kujifunza elimi hii lengo likiwa ni kujiongezea ujuzi.
Nimefatilia nimegundua Dunia ni pana hii. Naanza sasa kuelewa mambo ninayoyaona kwa wachungaji na masheih hata kwenye maisha halisi nimeanza kuelewa sasa...
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini:
1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga Beach
Sisi wakazi wa pembezoni mwa Ziwa Victoria tumekuwa tukishuhudia mambo mengi ambayo ni hatarishi...
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
Kueleza umuhimu wa kuonesha heshima kwenye mazungumzo kuhusu utalii wa ndani ni jambo la maana. Ni kweli kuwa utalii wa ndani ni sehemu muhimu ya maisha yetu na ni suala la hiari kwa kila mtu kushiriki. Kwa hiyo, ni vyema kuheshimu maoni na jitihada za kila mtu katika kukuza utalii wa ndani bila...
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva
POINT
1. Ni makosa...
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
Wakuu .
Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana.
Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko.
Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala.
Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja.
Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
*THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS
1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC
Focusing on teaching methodology and application mastery assessments.
To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues.
2. THEY ADHERE TO THE...
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
Tuna raslimali nyingi sana kama madini lakini vinatufaidisha kwa kiwango cha chini sana.Hatuna mitambo ya kuchimba madini hayo,hatuna vifaa vya kisasa kwa ajili ya kilimo,vyote tunaagiza nje,ila tuna vyuo vikuu vingi,pesa nyingi inawekezwa kwenye elimu,tunasoma degrii za manunuzi kwa kuwa...
Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga
Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana...
Habari ya majukumu wakuu...
Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa.
Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze
Natanguliza shukuran
Habari Wakuu!
Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti.
Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi,
kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.