eneo

  1. Mwanongwa

    DOKEZO Kuna Maafisa wa Ardhi wanataka kutuondoa kwenye maeneo yetu Wakazi wa Masimba kwa kisingizio tupo eneo la Airport (Tabora)

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo. Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
  2. Dalali wa mjini

    Nauza eneo la kituo cha Gas

    Habari wakuu. Eneo Kwajili ya Gas linauzwa GOBA Hapo unaweza kufungua kituo cha Kuuza Gas. Ewe mwekezaji fumba macho ununue hili Eneo. Sqm 2000. Kwa mawasiliano Zaidi 0754693556
  3. Faana

    Hii picha imepigwa wapi na eneo gani la sehemu husika

    Kwenu wajuzi, hii picha imepigwa mkoa gani? Mji gani? Mtaa gani?
  4. The Burning Spear

    Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  5. Z

    Inakuwaje Arena ijengwe Kawe wakati Serikali ya awamu ya 5 ilitoa eneo kubwa lililopo Kwembe/luguruni kwaajili ya kujenga Arena?

    Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba. sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni? mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya...
  6. GENTAMYCINE

    Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

    Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
  7. Roving Journalist

    Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  8. Newcastle1234

    Eneo linauzwa Ali Hassan Mwinyi Road

    2240 SQM Title deed: 99 Years Alongside Ali Hassan Mwinyi Road Topographical map available for serious buyers Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel. Asking price: $2 Million (negotiable) Call/WhatsApp 0788893364
  9. Sun Zu

    Eneo linauzwa, jirani na stand ya SGR DODOMA

    Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA. Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali. 15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo. 0719928661
  10. JUKUMU

    Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum. Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula). Karibu Kilimanjaro, kuna eneo tayari Lina jengo kubwa( limekamilika kabisa), kuna mashine ya kuchuja...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

    WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  13. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  14. R

    Eneo linauzwa Tabata Bima

    Eneo lenye Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Bima, Dar es salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje...
  15. T

    Plot4Sale Nauza shamba eneo la viwanda misugusugu

    Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics. Jirani ni msikiti, na kiwanda cha tissue 5,865 sqm Urefu 141.01m Upana 45.62 Bei 18.75M Dalali 10%(kwa dalali akileta mteja) Umbali...
  16. R

    Eneo linauzwa Tegeta Namanga

    Eneo linauzwa, Lina nyumba 3 ndani yake. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo. Ukubwa: SQM 1204. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 0767...
  17. R

    Eneo linauzwa Makumbusho

    Eneo linauzwa Makumbusho. Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower. Sifa za Eneo: Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road). Liko barabara ya kuelekea kituo cha Daladala Makumbusho. Linafaa kwa matumizi yote, biashara au makazi. Ukubwa wa Eneo: SQM 988. Nyaraka...
  18. Magical power

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  19. L

    Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  20. JanguKamaJangu

    KERO Eneo la Tegeta - Kwa ndevu uchafu unarundikwa eneo la barabara kama dampo, wasimamizi wako wapi?

    Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
Back
Top Bottom