eneo

  1. milele amina

    Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  2. the maze

    Plot4Sale ENEO LINAUZWA, CHAMWINO - DODOMA

    ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres). MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma. DIRECTION LINK...
  3. blackstarline

    Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

    Eneo la heka 7 linauzwa ni sehemu nzuri kwa uwekezaji lipo maeneo ya Lugono Nyama choma karibu na Chuo cha Mzumbe
  4. Allen Kilewella

    Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

    Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
  5. Suley2019

    Kampuni ya Barrick yasema eneo la mgodi wake nchini Tanzania limegeuka kuwa ‘kambi ya kijeshi

    Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama mikuki na mapanga. Affidavit na ushahidi mwingine uliotolewa na mameneja wa Barrick, ambao...
  6. B

    KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  7. A

    Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

    Habari Wadau, Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili. Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
  8. M

    Eneo la biashara Dar es Salaam

    Natafuta eneo la kuweka mwamvuli mahali palipochangamka kwa Dar kwa ajili ya biashara ya kukaanga kuku. Ipo 20k. 0678225164
  9. Roving Journalist

    ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  10. Roving Journalist

    Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  11. JanguKamaJangu

    KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
  12. Lugano Edom

    Kuna miji, majiji, mikoa na maeneo Majina yake tu Yanaonesha eneo ni zuri kuishi

    Eneo zuri kuishi kwanza liwe na watu wengi, pia liwe na mzunguko mzuri wa biashara. Nitajaribu Kutaja baadhi ya maeneo kama ukijaribu kutembelea utanishukuru kwa uzuri wa maeneo hayo CHATO, MBEYA, TUNDUMA, MULEBA, MOROGORO, MAFINGA, SONGEA, TUNDUMA, VWAWA ONGEZEA MENGINEUYAJUAYO
  13. Ritz

    Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

    Wanaukumbi. Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻‍♂️ ========================= Yemen iliwaonya walowezi hao kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama na lingelengwa na...
  14. Roving Journalist

    Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  15. aBuwash

    Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  16. BATULUNGE

    Eneo kubwa la biashara linauzwa Goba

    Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa. Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna nyumba 1 imejengwa na fremu 2 za biashara Bei yake ni Tsh 500 mil Kwa mawasiliano zaidi piga 0656077998
  17. N'yadikwa

    Kwenye eneo hili namkubali sana Elon Musk

    Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation. Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu. The future of humanity is through birth.
  18. Mlaleo

    Kabila la Kiarabu la Druze huko Syria milimani Golan wanataka eneo lao lichukuliwe na Israel.. Wasema bora kuishi na Shetani umjuaye kuliko usiyemjua

    Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
  19. BigTall

    KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  20. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
Back
Top Bottom