eneo

  1. J

    Prof. Kabudi tusaidie kumng'amua aliyeuza eneo la Kanisa Anglican kule Buza na kumfanya DC Gondwe kuchachamaa sana!

    Najua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili kijengwe kituo cha daladala. DC Gondwe ambaye pia ni mwana St Alban japo yeye ni Mlutheri wa Mbezi...
  2. Jidu La Mabambasi

    Ukarabati eneo la Bagamoyo/Goba Roads junction: TANROADS hamjafanya matayarisho ya kutosha!

    TANROADS wana wahandisi wabobezi wengi tu. Lakini katika ukarabati wanaotaka kufanya hapo Bagamoyo Rd/Goba rd junction, wameshindwa kabisa kufanya matayarisho ya kutosha. Leo asubuhi foleni ni mbaya mno upande wa Bagamoyo rd. Hivi mbona hawaoni wenzao pale Mwenge-Morocco kazi zinaenda na...
  3. TODAYS

    Hatimaye Chombo cha anga za mbali cha waarabu kimefika salama eneo la Orbit

    Afrika bado sana, wakati serikali zetu zinapuyanga kwenye siasa za kuumiza wananchi wake na kufikilia kumuweka mtawala afie madaraka wengine wanasafiri. MADA: Nimekuwa nafuatilia hawa waarabu kwenye hili jambo la kurusha chombo cha anga za mbali, pamoja na kuwatumia baadhi ya wazungu ila kwa...
  4. Iamhonest

    Msaada wa bei ya kukodishia kampuni eneo kwaajili ya kuweka mnara

    Habari za muda wana Jamii Forums, Samahani na napenda kupata msaada wa kujua gharama za kukodisha eneo kwaajili ya mnara kwenye eneo la mita 30*30 bei imefika shingapi? 2021 hii. Na mambo gani yakuzingatia kwenye mchakato mzima ikiwepo mkataba. Asanteni.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Msasani, eneo la kimkakati la kingono/ ufuska/zinaa

    Msasani ni kata iliyoko pembezoni mwa bahari ya Hindi huku ikiwa na mitaa ya Makangira, Mikoroshoni, Oyster Bay, Masaki na Bonde la Mpunga. Kata ya Msasani imezungukwa na maofisi makubwa na mahoteli ya kifahari na pia makazi ya mabalozi na maofisi yao. Mitaa ya Makangira, Bonde la...
  6. S

    Natafuta eneo la kuuza juice

    Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo. Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu. Kwa yeyote mwenye eneo anichek dm
  7. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  8. Intelligence Justice

    Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam). katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
  9. mdukuzi

    UDSM itenge eneo la makaburi kwa wahadhiri wake

    Ukiacha JWTZ taasisi inayomiliki ardhi kubwa katika mkoa wa DSM ni Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, na kutokana na kuwa chuo hiki kimetoa wahadhiri mahiri wenye kuheshimika duniani ambao walikuwa busy kufundisha mpaka kusahau kujenga makwao ni muda sasa chuo kuwatengea sehemu ya malalo ya kudumu...
  10. ommytk

    Eneo linauzwa au uwekezaji gezaulole Kigamboni lina heka 600

    Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
  11. ommytk

    Plot4Sale Tunauza eneo Kigamboni Geza Ulole kwa heka

    Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
  12. Sky Eclat

    Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  13. Magari ya Biashara

    Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  14. Q

    Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
  15. B

    Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
  16. Mwita Mtu Mrefu

    Natafuta binti wa kazi kwa ajili ya Mama Ntilie. Mshahara Tsh. 3,000/- kwa siku

    Hello Jf Binti wa kazi anatafutwa. Sifa 1. Ajue kupika chapati 2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu 3. Ajue hesabu 4. Awe anajua kuhudumia vizuri Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na chapati Mshahara ni 3000 kwa siku, nyongeza utajadiliana na boss wako. Chakula utapata hapo hapo...
  17. S

    Ubungo interchange, imepunguza foleni au imepunguza msongamona kwenye eneo la daraja yaani katika mataa ya Ubungo?

    Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni. Kwa mfano, ukitoka Ubungo Interchange mida ya jioni hasa kuanzia saa moja kasoro usiku mpaka saa mbili, ukifika maeneo ya Mlimani City basi ni mwendo...
  18. Edsger wybe Dijkstra

    Eneo la kufungua biashara ya huduma za ufundi simu, laptop, smart Tv nk kwa Dar kwa mwenye mtaji mdogo

    Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
  19. AbuuMaryam

    Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

    NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule, Ndogo ni vyumba viwili. Eneo ni takriban 20 kwa 20. Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
Back
Top Bottom