eneo

  1. Cannabis

    Muonekano wa sehemu ya jiji la Dar es Salaam baada ya machinga kupangwa katika maeneo mapya

  2. S

    Plot4Sale Eneo la acre1 linauzwa Kerege.

    Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo Limezunguushiwa fence ya seng'enge Bei 35milion(maongezi yapo)
  3. Abuu Dharr

    Msaada: Naomba kufahamu zilipo Ofisi ya Mipango Miji Wilaya ya Ilala

    Wana JF Nataraji mpo salama na familia zenu. Naomba kufahamu zilipo ofisi ya Mipango Miji Wilaya ya Ilala Shukrani
  4. M

    Panjishri Valley, eneo linalowatoa jasho Taliban

    Habari wadau, Ni siku yapili Leo Taliban wanajaribu kuingia kwenye eneo ambalo ndio jumbo pekee ambali hawajafanikiwa kulimiliki hili ila wanakutana na kipondo toka kwa hawa jamaa wenye asili ya Tajikistan. Miaka yote wamekuwa wakipata taabu sana eneo hili, hawa wa panjshri wanawasubiri...
  5. TheDreamer Thebeliever

    Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

    Habari wadau! Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede. Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
  6. The bump

    Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  7. Donnie Charlie

    Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  8. S

    Eneo kubwa la Pori la Jeshi kuanzia Nzuguni mpaka Mji wa Serikali Dodoma, kunaharibu mandhari ya Jiji la Dodoma

    Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi. Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
  9. Jembe Jembe

    Arusha: Kanisa lashitakiwa kwa tuhuma za utapeli wa eneo

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
  10. Tony Yeyo

    Natafuta mtu wa ku-share eneo la kufanyia biashara

    Wakuu habar zenu natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa...
  11. M

    Kuna Siasa katika kutenga eneo la kilimo na ufugaji katika Wilaya ya Simanjiro?

    Mh Waziri wa Ardhi tupia jicho lako katika Wilaya ya Simanjiro kwani kuna dalili zote kuwa kuna siasa imeingizwa kwenye utengaji wa eneo la kilimo na ufugaji. Suala la kutenga eneo la ufugaji na kilimo ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji lakini kuna watendaji wasio na maadili...
  12. kavulata

    Azam Media wekeza pia kwenye eneo la waamuzi wa ligi

    Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi. Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha wanaoamua wasiangalie kabisa mechi za ligi kuu zenye makosa makubwa ya wazi na makusudi ya waamuzi...
  13. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  14. Analogia Malenga

    TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  15. Ramon Abbas

    Eneo lenye hatua za miguu 250 kwa120 linaweza kutoa heka ngapi?

    Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili. Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu) Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi. Karibuni
  16. Magari Nusubei

    Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  17. RealEstate Agent

    INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  18. Linguistic

    Kamati ya Uchaguzi ya TFF yapitisha Jina la Wallace Karia kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Urais

    Wallace Karia amekuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwaengua Evans Mgeusa na Hawa Mninga kwa kukosa sifa. Karia anagombea nafasi hiyo kwa muhula wa pili. ====== Wallace Karia amepita kuwa Mgombea pekee...
  19. CCM Music

    Uwajibikaji kwenye eneo la kazi

    Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana. Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta. Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha mtapoteana miaka 50 mbele huko. Nimemwelewa sana. Document hii nimepata kwenye group moja la WhatsApp...
  20. D

    Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

    Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi! Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana! Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi! Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
Back
Top Bottom